Nimechoka maisha ya ughaibuni

Nimechoka maisha ya ughaibuni

Yani kuna watu hata hio nafasi ya kuja ulaya wanaitamani mkuu[emoji23] asikudanganye mtu bongo kugumu mpaka basi..
Yani kama itokee wamese ndege izi 3 zinatupeleka ulaya kwa yoyote anaetaka ila kazi ni kuwa waokota takataka nakuhakikishia mi ntakua siti namba 1 Hakya Mungu.
kuliko kupauka Bongo heri upauke ulaya... hata ukirudi huna mia potelea pote ...ntafikia mvomero uko kama Dar naona aibu
kwanza sioni aibu ikibidi unapotelea hukohuko sio mbaya
Unataka kwenda ulaya??
 
Anayetoboa akienda ughaibuni ni yule ambaye angetoboa hata akibakia Tanzania. Nimekaa nje ya Tanzania(Europe 6yrs, Middle East 2yrs) lakini nimeona asilimia kidogo sana ndo wanatoboa.

Unahitaji kuwa smart na uishi maisha halisi, ufanye savings sana starehe iwe kidogo sana. Mtu akiwaza maisha ya Bongo yalivyo magumu kiutafutaji kama huna wazazi ambao ni well off, halafu akapata nafasi ya kwenda nje kutafuta, halafu akatumia anachokipata kwa magari ya kukodi, gamble na maisha ya Rick Ross, huyu binafsi namuweka kundi moja na mbweha pori

Kabisa Mkuu,
Nimemshangaa sana huyo mtoa post eti analalamoka hakuna vijiwe vya gahawa badala ya kazi.
Eti kulipa bili za rental cars why asitumie mabasi au treni which are cheaper than rental cars.
Kama ni kweli basi huyo mtoa post hajitambui
 
Ama hakika maisha ya ughaibuni kwa ujumla yamenichosha jamani yaanj sio poa kabisa yaani kutwa kushinda uko pekee yako hamna vijiwe vya kahawa na kashata kama huko bongo yaanj kutwa kufanya kazi saving ni kipengele sana kwasababu unafanya kazi mara ulipie mortgage, mara ilipie car rent hamna kuwapiga watu mizinga kama huko kwenu

Baada maisha ya new Harlem New York kunishinda nimeamua kuhamia Wisconsin angalau nipunguze Gharama ya maisha kidogo maana maisha yalikuwa sio poa viwanja vya starehe ni gharama sana nataka nipambane kidogo nihamie Kentucky nika hang na waAfrika wenzangu angalau nitaenda kupata miguu ya kuku kama huko uswahilini aisee
Ukitaka kufaidi life la mbele usiwe na maisha mawili... yaani africa na mbele hapo utainjoi.
 
Yani kuna watu hata hio nafasi ya kuja ulaya wanaitamani mkuu[emoji23] asikudanganye mtu bongo kugumu mpaka basi..
Yani kama itokee wamese ndege izi 3 zinatupeleka ulaya kwa yoyote anaetaka ila kazi ni kuwa waokota takataka nakuhakikishia mi ntakua siti namba 1 Hakya Mungu.
kuliko kupauka Bongo heri upauke ulaya... hata ukirudi huna mia potelea pote ...ntafikia mvomero uko kama Dar naona aibu
kwanza sioni aibu ikibidi unapotelea hukohuko sio mbaya

Njoo tupotelee huku ughaibuni. Ukirudi bongo umeiva mbaya
 
Tajiri ukirudi bongo mwezi tu utapakumbuka mwenyewe kiwanja [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwacheni arudi nyumbani amesha zoea shida huyo. Inaonyesha mtoto wa mama anapenda kukaa Vijiweni na ikifika wakati wa kula mam yake amesha mtayarishia chakula. Huku nje tuliopo sisi hakuna uzembe na wala uvivu na wala kumtegemea mtu maisha yanakwenda mbele hakuna kurudi nyuma. Ulaya hivi sasa huku baridi kali sana usipofanya kazi huwezi kula na wala huwezi kwenda chooni. Hapa ni Kazi tu uvivu no.
 
Anayetoboa akienda ughaibuni ni yule ambaye angetoboa hata akibakia Tanzania. Nimekaa nje ya Tanzania(Europe 6yrs, Middle East 2yrs) lakini nimeona asilimia kidogo sana ndo wanatoboa.

Unahitaji kuwa smart na uishi maisha halisi, ufanye savings sana starehe iwe kidogo sana. Mtu akiwaza maisha ya Bongo yalivyo magumu kiutafutaji kama huna wazazi ambao ni well off, halafu akapata nafasi ya kwenda nje kutafuta, halafu akatumia anachokipata kwa magari ya kukodi, gamble na maisha ya Rick Ross, huyu binafsi namuweka kundi moja na mbweha pori
[emoji1787][emoji1787]
 
Mwana kulitafuta, mwana kulipata. To each his own.

Kujitambua wewe mwenyewe unataka nini tangu awali na kuishi bila kufuata mkumbo ni kitu muhimu sana.

Mimi niliamua kuhama nchi (Tanzania to US), si kuja ughaibuni kujaribu maisha halafu nikishindwa nirudi Bongo.

I was "America or Burst" like Balki Bartokomous from "Perfect Strangers"

Nilikuwa kama yule Jemedari aliyevuka bahari halafu alivyofika ng'ambo ya pili akachoma mashua moto ili vita iwe mbele kwa mbele bila option ya kurudi nyuma na kuvuka kwenda ng'ambo ya kwanza kwa mashua.

Na kwa sababu nilishaamua mbele kwa mbele, nimefanikiwa kwa kiasi changu na sina mpango wa kurudi Bongo kimoja, labda likizo tu.

Kwanza sioni mtu/ deal la kunilipa $250,000 kwa mwaka Bongo, as a minimum, not counting real estate portfolio, bila kuhangaika sana, bila hata kutoka nyumbani kwangu, na bila wizi au rushwa, vitu ambavyo sivitaki. I am talking squeakly clean money.

Sasa nikiacha michongo yangu huku ambapo nina uhakika wa kupiga US $1,000 kwa siku, at a minimum, kabla sijaangalia mingo zangu za real estate and other investments, nirudi Bongo, niache access ya kuwekeza New York Stock Exchange na world markets zote, nirudi Bongo nikahangaike na umeme wa TANESCO, internet ya manati, tozo zisizotabirika, na ujinga mwingine wa jumla na rejareja kama huo, nitakuwa mjinga kiasi gani hapo?

Eti niache a minimum of US $1,000 kwa siku (ambayo ndiyo around GDP per capita ya Bongo by the way), kwa sababu na miss vijiwe vya kahawa vya Bongo. Hata huko kwenye vijiwe vya kahawa wakisikia hivyo mbona naona kama watanipiga mawe? Vijiwe vya kahawa siku hizi si ndo hivi tunakutana JF?

Yani wana wananiangalia mimi ndiye balozi wao, kaka mkubwa, wakija US wanafikia kwangu, ma cousins wanaokuja kusoma na wao wajue wana address ya mtu wa nyumbani US, wana sehemu hata za kufikishia barua na kutumia address kuanzisha kampuni, halafu na mimi balozi wao tena nirudi nyumbani wakija huku wafikie wapi?

Kikubwa zaidi, nilishaamua kuondoka Bongo na kuishi Marekani na uamuzi wangu ulikuwa wa kubadili makazi kimoja, si wa kujaribu maisha ughaibuni na kurudi nyumbani.
 
Ama hakika maisha ya ughaibuni kwa ujumla yamenichosha jamani yaanj sio poa kabisa yaani kutwa kushinda uko pekee yako hamna vijiwe vya kahawa na kashata kama huko bongo yaanj kutwa kufanya kazi saving ni kipengele sana kwasababu unafanya kazi mara ulipie mortgage, mara ilipie car rent hamna kuwapiga watu mizinga kama huko kwenu

Baada maisha ya new Harlem New York kunishinda nimeamua kuhamia Wisconsin angalau nipunguze Gharama ya maisha kidogo maana maisha yalikuwa sio poa viwanja vya starehe ni gharama sana nataka nipambane kidogo nihamie Kentucky nika hang na waAfrika wenzangu angalau nitaenda kupata miguu ya kuku kama huko uswahilini aisee
Karibu Birmingham
 
Back
Top Bottom