Nimechoka mwili na roho mwalimu miye loh!!!

My dear Munkari we twende kufundisha bana achana na hayo maneno hata kwenye kanga yapo
 
Last edited by a moderator:
jamani Perry kaadimika sana
 
Last edited by a moderator:
 
Pole sana mrembo, kwa kuwa serikali yetu ni sikivu tutajitahidi kutengeneza miundombinu ya kuishi vizuri ili kupunguza uwezekano wa kubakwa na kubaka kwa walimu wa kiume waliopelekwa shule za mabinti!

sawa Horseshoe Arch
 
Last edited by a moderator:

haya Bazazi upo juu !!!!!
 
Last edited by a moderator:
Watu humu wanaleta kashfa wakati hata uhakika wa kuoata laki kwa mwezi ni shida

achana nao !!!kuna watu ndo nature yao ukibishana nao unapoteza maji mwilini loh!
 
Vipi umeyazoea mazingira?
nitumie hata ya vocha kwenye hiyo hela ya siku saba.
 
Watu humu wanaleta kashfa wakati hata uhakika wa kuoata laki kwa mwezi ni shida

Sikiliza Mbwiga
Bazazi kaenda shule
Bazazi hafanyikazi ya kuajiriwa
Bazazi kipato chake kinamtosha

Bazazi amesoma wakati darasa 7 wanajiunga na vyuo vya ualimu
Bazazi kasoma enzi ya Half Combination (Maalum kwa waalimu)
Bazazi kafanya vurugu vyuo vikuu
Bazazi sio mwalimu sababu alijua mazingira ya kazi ni magumu
Bazazi anajua kuwa ukisomea ualimu ujuue vijijini ni kwako

La mwisho Bazazi ana uhakika na maisha yake

Ndimi Bazazi!
 
Vipi umeyazoea mazingira?
nitumie hata ya vocha kwenye hiyo hela ya siku saba.

ha ha ha umenchekesha sana! Unataka vocha ya shngap? Sijatumia hata buku !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…