Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia mkuu kutanyooka tuu
Ooh umekuja mtaalam, ebu take the lead bwana waalimu wanatusema sana
nani alikwambia usome ualimu???si njaa zako mwenyewe na utashi wako ukaamua kusoma ualimu???wenzio wamesoma sheria,accounts,PSPA,project management nk wanakula tu cace ya nchi!!!UALIMU NI KAZI YA LAANA,hata YESU alikuwa mwalimu wakamsulubu,
JK Nyerere alikuwa mwalimu ona familia yake,watoto wake wni njaa tu,numba yenyewe alijengewa na suma JKT!!!cha mcing nakushauri rudi mjini piga mishe nyingine,pia bora mwalimu wa mjini kuliko mwl wa kijijini!!!mjini opportunity nyingi........++++++++ ha ha ha !wacha ncheke kwanza eti tembele mwaka mzima khaaaa ! Jamaa unadharau wewe !!!!
Pole sana mrembo, kwa kuwa serikali yetu ni sikivu tutajitahidi kutengeneza miundombinu ya kuishi vizuri ili kupunguza uwezekano wa kubakwa na kubaka kwa walimu wa kiume waliopelekwa shule za mabinti!
mmmh haya twende !!
Sikuelewei Munkari
Hivi wakati ukisomea ualimu ulitegemea ufanye kazi wapi?
Ualimu hauna mazingira kwani ni mtu wa kueleimsha taifa
Kituo chake ni popote.
Unaogopa kut@mbwa na mwanaume asiye wa elimu yako?
Vumilia au acha kazi
Bazazi tangu darasa la saba alikuwa akiweka X katika nafasi ya ualimu
Wewe ukafikiria kazi tu bila kujali mazingira
Bazazi anafani inayomfanya asiishi nje ya makao makuu ya wilaya
huyo ndo bazazi!!
achana nao !!!kuna watu ndo nature yao ukibishana nao unapoteza maji mwilini loh!
Watu humu wanaleta kashfa wakati hata uhakika wa kuoata laki kwa mwezi ni shida