Nakumbuka uliniponda nilipoweka uzi wangu wakususia kwenda serengeti!bora umejionea mwenyew njoo mjini private zinalipa hadi laki9 take home kama cheti kipo poa......
ha ha eti wanao,bonge la ticha miye!! Wito uliisha enzi za mwalimuu!! Mzima lakini?
huu ni uzembe wa kufikiria, inawezekanaje usome toka mwaka wa kwanza usijue mazingira tarajiwa ya kazi yako? ulikuwa hujui shule zinapatikana wapi ? pamoja ya hayo ulipaswa pia kujua mazingira ya sasa na sera za nchi, mbona taarifa kila mwaka zinatolewa na walishasema wanasitisha kupeleka walimu mijini maana shule za vijijini ndio zina uhitaji mkubwa wa walimu. NARUDIA TENA KUWA HUU NI UZEMBE ULIFANYA. mimi nilipomaliza kidato cha sita na hata kabla sijapanga nikasome nini nilikuwa naangalia nikisema ualimu lazima nitafundisha vijijini maana shule zipo huko, hata ukienda afya tegemea hali hii, lakini ukisoma electronics, IT, ICT, TELECOM, CHEMICAL ENGINEERING, MEDICINE wewe kupelekwa kijijini sahau na nililijua hili mapemaaaaaaaaaaa, sasa mtaalamu wa medicine ataendaje kijijini ambako hakuna hata umeme na vifaa vingi ni electronics, hapo utaambiwa mara wilayani, mara mkoani hapohapo.Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!
this is not so difficult. hili linarekebishika kirahisi mbona kama walimu wako serious hata wenyewe wanaweza weka mambo sawa. poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ila ndo ukubwa huu.ha ha loh jaman haja kubwa je?
unataka kuja kunsalimia??
mmmh kwahuku nitakula zilizo oza! Mweh!
Pole mpenzi am speechless kumbe ukimya huu umekimbilia huko?
Fanya mpango wa uhamisho fast fasta ikiwezekana Honga fedha
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!
Sasa mwaka 2008 Nlipangwa Bagamoyo hifadhini ndani sana na me nilidata mara za1 ila unakaa unazoea na baada ya3 year nikahama,nitafute nkushauri namna ya kuhama 0759063942
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!
Uwiiiii Munkari mbavu zangu mie mkoa gan huo walokupeleka nimechekaje ........ you made my day. ila pole sn fanya mchakato wa kuhama ila uctoke kinyemela mg dear
jumatatu rudi halmashauri ukakichafue wakubadilishie kituo...natumai being woman itakusaidia... kwani unepangiwa kijiji gani isije ikawa uko puma.dung'unyi au mkalama ukawa unalalamika..ni wapi huko sista....nilifanya kazi huko kwa miaka mitatu na nikahama.. naweza nikakupa techniques nlizotumia wakanikubalia kuchomoka