Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,358
- Thread starter
- #141
Nakumbuka uliniponda nilipoweka uzi wangu wakususia kwenda serengeti!bora umejionea mwenyew njoo mjini private zinalipa hadi laki9 take home kama cheti kipo poa......
huku ni shidaaa!! Nipo poa kabisaaaa! Ngoja nchek upepo !ntakuja!