Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
afu mnataka walimu ndo tutaabike mje mfundishe wenyewe hakatwi mtu hapa!!!
ha ha ! Sasa kama unazimwaga hivyo na miye kamshahara kamechelewa je!loh!!
Ss wenyenchi mshahara naposho tunakula bata tu
Pole sana, hiyo ndo hali halisi ya taaluma yetu na nchi yetu kwa ujumla. Cha msingi tuombe serikali yetu ihimarishe miundombinu sehemu zote za nchi yetu .Ili tuwahudumie watanzania wenzetu kwa upole na upendo wa moyoni, kwa kuzingatia kuwa nao bado wanaitaji huduma yetu. Hivyo kila mtu akisema akimbie hao watanzania wenzetu hao watahudumiwa na nani? So vumilia tulijenge taifa letu pamoja na changamoto zake.