Nimechoka mwili na roho mwalimu miye loh!!!

Nafiri unaweza kuyabadili hayo mazingira Dada
elimu unayo
Nakushauri usiache Nazi
Kuna watu wanazililia
 
Natafuta hausi gelo kama vipi nikuajiri umsaidie mama ngina hapa nyumbani...
 
Pole sana, hiyo ndo hali halisi ya taaluma yetu na nchi yetu kwa ujumla. Cha msingi tuombe serikali yetu ihimarishe miundombinu sehemu zote za nchi yetu .Ili tuwahudumie watanzania wenzetu kwa upole na upendo wa moyoni, kwa kuzingatia kuwa nao bado wanaitaji huduma yetu. Hivyo kila mtu akisema akimbie hao watanzania wenzetu hao watahudumiwa na nani? So vumilia tulijenge taifa letu pamoja na changamoto zake.
 
haya asante Chorobinksky kwa ushauri mzuri nimekuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom