Nimechoka na hizi 'bla bla' kutoka kwa Wanafiki, Waongo na Wasiofanya hivyo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Njombe mkulima analima heka moja ya viazi mviringo, anavuna gunia 206 anauza elfu 40 anapata milioni 8, amewekeza milioni, sasa uzalishaji wenye tija upo Njombe" - Anthony Mtaka, Mkuu wa mkoa wa Njombe.

Chanzo: EastAfricaTelevision

Tafadhali hebu tuacheni kwa sasa!!!
 
Hakuna hiki kilimo.
 
Hakuna hiki kilimo.
Halafu na huyu Mtaka tokea aanze Kusifiwa ameshalewa na Siku hizi amekuwa ni Mtu wa Kupayuka payuka tu Madalali wa Nguo za Wanawake ( Mademu ) Manzese Darajani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…