Kwa hilo naunga mkono hoja mkuusiku zote kibinafsi nipo mahali sahihi, na kwa wakati sahihi ninasimama kwenye nafasi yangu vizuri sana kwa maslahi mapana ya wadau wa JF na Taifa kwa ujumla.
kamwe siwezi kubababika na eti sijui nani amekereka au amefurahia mawaidha yangu.
Ile focus kubwa na muhimu sana ni kuhakukishwa jamii na wadau wa JF, wanajikwamua pale walipokwama kulingana na masaibu wanayopitia.
vinginevyo JF ni shule na darasa muhimu sana kwangu na kwahivyo nakuswa mno na kila hoja ya mdau yeyote wa JF katika majukwaa yote ๐
You deserve that name, "poor brain"Kwanza kabla ya yote nikupe hongera mkuu kwa kuwa na moyo wa uvumilivu kama huu..
Pia upo smart sana kwa jinsi ulivyopangilia matukio na ulivyoweza kuyakabili..
Ushauri wangu kwako kama kijana mwenzangu...
Kaa chini ongea nae kama yupo tayari kuendelea kukaa na wewe au achape lapa..
Mkuu kama upo dasalam. Mimi nipo tayari kuja kuanzisha vagi mpaka akaondoka na akajutia mahusiano na wewe..
Nasema hivi kama kijana mzoefu wa haya mambo ya vagi na kuchezea watu michezo ka hiyo...
Ahsante
muhimu na jambo ya maana zaidi ni kuongeza uelewa na ufahamu juu ya masuala hayo, kuchangia au kutokuchangia ni jambo la ziada tu gentleman ๐Majukwaa ambayo huwa sijachangii n Yale ya Israel, siasa na mpira, maswala ya dini pia
na hilo ni jambo la maana sana gentleman ๐ ๐ช ๐ ๐Kwa hilo naunga mkono hoja mkuu
Mno gentleman ๐na hilo ni jambo la maana sana gentleman ๐ ๐ช ๐ ๐
WhaooooYou deserve that name, "poor brain"
Onaongea nae English ukiwa umelewa au upo soba.?Hello everyone,
I am a young man, 25 years old. I was in a relationship with a woman who is 7 years older than me. She has an 8-year-old daughter from a previous relationship. In our relationship, this woman got pregnant with twins.
Every day, I give her 20,000 shillings for expenses, and on rare occasions when I canโt, I give her 15,000 shillings. In a month, this might happen 5 to 6 times. If I miss a day, I have to give her 25,000 to 30,000 shillings the next day to make up for it.
This woman complains a lot and thinks the money I give her is not enough. Her harsh words have exhausted me, and I have reached the limit of my patience because of her attitude. She wants me to listen to her and follow everything she says, but I am not built that way. She thinks she is punishing me with these expenses.
I am a drinker and can spend over 50,000 shillings when I am out with my friends. This woman does not like my friends and even when she finds me with them, she does not greet them. I am tired of her, both physically and mentally. Even her child is very rude and recently greeted me with โshikamoo uncle.โ
I am asking for your advice because my mind is completely exhausted. I am tired physically and mentally, and I have no peace.
Thank you.
Naona unang'oa bikon unahamishia kwako kitaalam.Mkuu kama upo dasalam. Mimi nipo tayari kuja kuanzisha vagi mpaka akaondoka na akajutia mahusiano na wewe.
๐๐๐๐ Umewaza mbali sana mkuuNaona unang'oa bikon unahamishia kwako kitaalam.
We jamaa mtihani wa kujiheshimu ulipata F ya ngapi ๐๐๐๐๐
utazeeka mapema, miaka 25 kilichokupeleka kwa Singo maza wa miaka 32 ni nini? halafu unamhudumia wewe kah! bora kama ungekuwa unalelewa, achana na hiyo Singo maza haraka tafuta wa size yakoHello everyone,