Nimechoka na Mahusiano Yangu. Naomba ushauri

Nimechoka na Mahusiano Yangu. Naomba ushauri

Kwanza nianze kwa kukutukana "maza Fanta kabisa" wewe Ebu njoo pm nikupe ushauri brother

Achana na hiyo takataka piga chini kabsa jifunze kujijali wewe kosa la kwanza ulilo fanya ni kumpa to the extra (ukiona UnalalaMika kumpa mwanamke aidha fedha au kitu chochote basi jua unatumia energy kubwa)

Kwanza wanawake "masinglemaZa" wana kamsemo kao kapo hivi (Yan wanaume wote wamenikataa wewe ndo unakuja kunibali bwege kabisa)

Your still young mazafanta, your energetic,usiruhusu upotezewe focus usiwe mjinga kula mifupa alioishindwa fisi broo wewe utaweza? )

Focus kwenye kutafuta hela ziwe nyingi uwe na economic freedom achana na hilo lishetani kijana

Acha upuuzi mpige chini
Mwisho, wachache sana walikufa kwa kuish peke yao Ila ni wengi sana wamekufa kwa kuwa kwny mahusiano yasiyo Sahii

Ungekua mtoto/mdogo wangu ungekula bakora
Mbona unanifokea sasa ongea talatibu
 
No,
usinitafute mahali pengine kwasabb ya shughuli za wanainchi..

we nitag tu nitajaa mazima mazima bila kujibakiza, nikupe mawaidha na nasaha mujarabu mpaka nihakikishe umenusurika, umepona na kuondoka kabisaa kwenye mkwamo ulioko na ndiyo tusonge mbele pamoja katika ujenzi wa Taifa letu 🐒
🤣🤣🤣 ni vile haujui tu, jinsi hayo maneno yako yanakera hasa ukiwa kwenye kile kitengo chako cha uchawa gentleman 🐒
 
Unaoa wa hivi halafu unatarajia nini? Tafuta bikira, hautateseka hivyo.
GbRg57GXYAAGDkP.jpeg
 
Huna akili unataka ushauriwe na nani amua wewe kama unaona anachokifanya ni sahihi endelea Nae ulipata wapi ujasiri wa kuoa mashangazi unaokuzid miaka 7 mbona hukuomba ushauri wkt mnatongozana
 
Huna akili unataka ushauriwe na nani amua wewe kama unaona anachokifanya ni sahihi endelea Nae ulipata wapi ujasiri wa kuoa mashangazi unaokuzid miaka 7 mbona hukuomba ushauri wkt mnatongozana
Daaah sawa bana
 
Hello everyone,

I am a young man, 25 years old. I was in a relationship with a woman who is 7 years older than me. She has an 8-year-old daughter from a previous relationship. In our relationship, this woman got pregnant with twins.

Every day, I give her 20,000 shillings for expenses, and on rare occasions when I can’t, I give her 15,000 shillings. In a month, this might happen 5 to 6 times. If I miss a day, I have to give her 25,000 to 30,000 shillings the next day to make up for it.

This woman complains a lot and thinks the money I give her is not enough. Her harsh words have exhausted me, and I have reached the limit of my patience because of her attitude. She wants me to listen to her and follow everything she says, but I am not built that way. She thinks she is punishing me with these expenses.

I am a drinker and can spend over 50,000 shillings when I am out with my friends. This woman does not like my friends and even when she finds me with them, she does not greet them. I am tired of her, both physically and mentally. Even her child is very rude and recently greeted me with “shikamoo uncle.”

I am asking for your advice because my mind is completely exhausted. I am tired physically and mentally, and I have no peace.

Thank you.
Ciao a tutti,

Sono un giovane di 25 anni. Ero in una relazione con una donna di 7 anni più grande di me. Lei ha una figlia di 8 anni da una relazione precedente. Durante la nostra relazione, questa donna è rimasta incinta di due gemelli.

Ogni giorno, le do 20,000 scellini per le spese, e in rare occasioni, quando non posso, le do 15,000 scellini. In un mese, questo può accadere 5 o 6 volte. Se salto un giorno, devo darle tra 25,000 e 30,000 scellini il giorno successivo per compensare.

Questa donna si lamenta molto e pensa che i soldi che le do non siano sufficienti. Le sue parole dure mi hanno esaurito, e ho raggiunto il limite della mia pazienza a causa del suo atteggiamento. Vuole che io la ascolti e segua tutto ciò che dice, ma non sono fatto così. Lei pensa che mi stia punendo con queste spese.

Sono un bevitore e posso spendere oltre 50,000 scellini quando esco con i miei amici. A questa donna non piacciono i miei amici e, anche quando mi trova con loro, non li saluta. Sono stanco di lei, sia fisicamente che mentalmente. Anche la sua bambina è molto maleducata e di recente mi ha salutato dicendo "shikamoo zio."

Vi chiedo un consiglio perché la mia mente è completamente esausta. Sono stanco fisicamente e mentalmente, e non ho pace.

Grazie.
 
🤣🤣🤣 ni vile haujui tu, jinsi hayo maneno yako yanakera hasa ukiwa kwenye kile kitengo chako cha uchawa gentleman 🐒
siku zote kibinafsi nipo mahali sahihi, na kwa wakati sahihi ninasimama kwenye nafasi yangu vizuri sana kwa maslahi mapana ya wadau wa JF na Taifa kwa ujumla.

kamwe siwezi kubababika na eti sijui nani amekereka au amefurahia mawaidha yangu.

Ile focus kubwa na muhimu sana ni kuhakukishwa jamii na wadau wa JF, wanajikwamua pale walipokwama kulingana na masaibu wanayopitia.

vinginevyo JF ni shule na darasa muhimu sana kwangu na kwahivyo nakuswa mno na kila hoja ya mdau yeyote wa JF katika majukwaa yote 🐒
 
Kila nikitafta binti bikra naisikia Ile Sauti ya shikamoo 🤣mpaka sometimes naona nongwa naona bora nikomae na hii mipunaji mikubwa mbususu kama madiaba
Tafuta bikra = tafuta jela.

Kawadanganye walio sinzia mkuu🤣🤣🤣
 
Majukwaa ambayo huwa sijachangii n Yale ya Israel, siasa na mpira, maswala ya dini pia

Back
Top Bottom