Nimechoka na Mahusiano Yangu. Naomba ushauri

Nimechoka na Mahusiano Yangu. Naomba ushauri

Duh! Achana nae uwe na amani ya moyo, mshirikiane malezi ya watoto pacha, ingawa anaweza kukusumbua hata kuwaona watoto mara mtakapoachana, anaonyesha ana vinasaba vya ushetani anakukomoa.
Mtikise bila huruma ameshazizowea pesa zako hivyo haoni thamani yake.
 
Yaani katoto kameona huyo ni kaka ake mama yake atamwitaje baba… akaona ajiongeze amwite mjomba… yaani kijana amedharaulika na mama na mtoto wake
daaah kweli hizi dharau ngoja nikakate makofi kakijichanganya
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka hapo kuhusu hako katoto.

Huyo mwanamke mpige chini tu,hana maana
 
Habari wakuu,

Mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 25. Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye ananizidi umri kwa miaka 7. Yeye ana mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 8 kutoka kwenye mahusiano ya awali. Katika mahusiano yetu, mwanamke huyu alipata mimba ya watoto mapacha.

Kila siku namuachia shilingi 20,000 kwa matumizi, na mara chache sana ambapo nimekosa, namuachia shilingi 15,000. Kwa mwezi, inaweza kuwa mara 5 hadi 6 ambapo namuachia shilingi 15,000. Ikitokea siku sijatoa hela, lazima kesho yake nimuachie shilingi 25,000 hadi 30,000 ili kufidia siku iliyopita.

Huyu mwanamke ananipa lawama nyingi sana na anaona hela ninayomuachia haitoshi. Maneno yake mabaya yamenichosha kabisa, nimefika kiwango Cha mwisho cha uvumilivu kwa ajili ya mdomo wake. Anataka nimskilize na nimfuate kila anachosema, lakini mimi sijaumbwa hivyo kumskiliza mwanamke anachotaka ndo nikifanye. Anaona kama ananikomoa kwenye matumizi.

Pia Mimi ni mnywaji wa pombe na naweza kutumia zaidi ya shilingi 50,000 nikiwa na marafiki zangu basi huyu mwanamke hapendi marafiki zangu na hata akikuta nimekaa nao, hawasalmii, wakimsalmia haitikii, Yani amenichosha. Nimemchoka mwili hadi akili, sina raha kabisa. Hata haka katoto chake ni kajeuri balaa na kalikuwa hakaniamkii kakawa kanipigwa na mama ake sasahivi ndo kananiakia shkamoo mjomba kakaniona kananua Yani Kila mtu ananichosha kwakweli Yani nachoka ntakufa sasa, WAKUU NIMECHOKA MWILI HADI AKILI.

Naombeni ushauri wenu wakuu nifanyaje maana akili yangu inachoka kabisa. Nimechoka mwili na akili, sina raha.

Asanteni.
Miaka 25 tu ushachoka? 😅😅😅

Ashakuona wewe ni fala.
 
Hello everyone,

I am a young man, 25 years old. I was in a relationship with a woman who is 7 years older than me. She has an 8-year-old daughter from a previous relationship. In our relationship, this woman got pregnant with twins.

Every day, I give her 20,000 shillings for expenses, and on rare occasions when I can’t, I give her 15,000 shillings. In a month, this might happen 5 to 6 times. If I miss a day, I have to give her 25,000 to 30,000 shillings the next day to make up for it.

This woman complains a lot and thinks the money I give her is not enough. Her harsh words have exhausted me, and I have reached the limit of my patience because of her attitude. She wants me to listen to her and follow everything she says, but I am not built that way. She thinks she is punishing me with these expenses.

I am a drinker and can spend over 50,000 shillings when I am out with my friends. This woman does not like my friends and even when she finds me with them, she does not greet them. I am tired of her, both physically and mentally. Even her child is very rude and recently greeted me with “shikamoo uncle.”

I am asking for your advice because my mind is completely exhausted. I am tired physically and mentally, and I have no peace.

Thank you.
Chai jaba😅😅
 
Back
Top Bottom