Nimechoka na matusi tunayotukanwa wanaume wa Dsm

Hi,
Swali kama una umri wa miaka 18 nakuendelea why umtukane mtu mwingine mi inanikera punguzeni jamani.
Mtu akikukera mwambie vijembe vya nini?
 
Hi,
Swali kama una umri wa miaka 18 nakuendelea why umtukane mtu mwingine mi inanikera punguzeni jamani.
Mtu akikukera mwambie vijembe vya nini?
Mkuu Naomba Ufafanuzi Unajuaje kama mtu amemtukana mtu mwingine.. Labda tuanzie hapo...
 
Hahahaa. Pole sana mkuu ila nikwambie hiyo ni hulka ya mtu yaani unakuta bila kutukana hajaona raha sio kwenye ugomvi tu bali hata katika maongezi ya kawaida bila kutukana raha haijapatikana.

Sijui wanapata faida gani. Na jinsia ya Me ndio sana. (Ila msinimeze)
 
Inasikitisha sana...

Binadamu ndiyo walivyo...

Kama hakuwezi kwa lolote au chochote, defence mechanism yake ni matusi...

Mtu akikutukana mpotezee tuu...


Cc: mahondaw
 
Muda mwingine matusi yanasaidia kukurudisha kwenye mstari ila inategemea na matusi hahahaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…