Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,564
- 55,570
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na chipsi yaiUmeandika hii thread ukiwa unakunywa juice ya muwa bila shaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na chipsi yaiUmeandika hii thread ukiwa unakunywa juice ya muwa bila shaka.
Mkuu Naomba Ufafanuzi Unajuaje kama mtu amemtukana mtu mwingine.. Labda tuanzie hapo...Hi,
Swali kama una umri wa miaka 18 nakuendelea why umtukane mtu mwingine mi inanikera punguzeni jamani.
Mtu akikukera mwambie vijembe vya nini?
Mkuu Naomba Ufafanuzi Unajuaje kama mtu amemtukana mtu mwingine.. Labda tuanzie hapo...
Rafiki umefufuka?Hahahhhah
Bebe rafiki nafikiria hapa nifufuke au niendelee kufa tuRafiki umefufuka?
Hi,
Swali kama una umri wa miaka 18 nakuendelea why umtukane mtu mwingine mi inanikera punguzeni jamani.
Mtu akikukera mwambie vijembe vya nini?
Kwani Trump alimtukana nani MkuuMtu kumtukana mwenzako siyo vizuri ila Trump alifanya vizuri
Ni ya tendeUmeandika hii thread ukiwa unakunywa juice ya muwa bila shaka.
Ushakuwasha?Upupu mtupu!
Huwa wanatukana mamba kabla hawajavuka mtoMmh. Mi nilijuaga ni masihara kumbe mmeshajiamualia kuwekeana ligi kiasi hicho. Lol
Akili Unazo!....Unafahamu kuwa alimtukana nani!!Kwani Trump alimtukana nani Mkuu
Kuambiwa Ukweli ni Kutukana Kumbe MkuuAkili Unazo!....Unafahamu kuwa alimtukana nani!!