Nimechoka na upweke natafuta rafiki.

Nimechoka na upweke natafuta rafiki.

ng'ana nkamba

Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
55
Reaction score
19
Natafuta rafiki wa kiume mwenye umri kuanzia miaka 36, hadi 45, mwanamume aliye mseja atafaa zaidi au mjane, awe msomi mwenye kazi yoyote yenye kipato cha halali, awe anaishi dar, mie ni mkazi wa dar . Aliye tayali awasiliane na mie kwa sasa nipo nasoma chuo, ni mfupi, mnene kiasi, na maji ya kunde. Sipendi mtu asiyejitambua., na mbabaishaji.
 
Nipe namba yako mie Pia nakuhitaji sana
 
Sifa zote unazo kufaa uwe wangu lakini uliposema wewe ni mfupi ndipo umenichanganya.
 
Kweli ndoa zimekuwa adimu miaka 35 bado una ndoto za kuolewa. Nways kila LA heri
 
Back
Top Bottom