Sio kweli. Kuna siku anaweza paki na kutumia bodaboda au daladala.Sabb zako za kununua gari ni dhaifu sana uwe na malengo ya zaidi na hilo, gari Dar ina hudumiwa kwa average ya 20,000 kwa kila siku mwezi ni 600k, mshahara wako kama ni 900k monthly, siunaona unaingia kwenye dimbwi la 'urban silent poverty'
Sasa atatokaje na gari bila kutazama mafuta as if gari inatumia upepo?Kama unafeel inferior, kuna options hizi;
1. Hama mtaa unaoishi nenda ambako inferiority complex yako itaisha
2. Unusual gari kama unavyowaza lakini, ujuwe kuwa siku utakayoishiwa hata hela ya mafuta utafeel inferior tena. Hebu waza, umekatikiwa mafuta barabara, ile unahangaika na dumu mmoja wa wale marafiki wanakuona na dumu..!!!
UJUWE KUWA INFERIORIY COMPLEX HAITIBIWI KWA KUKAMILISHA KILE UNACHOKIONA KINAKUPA HALI HIYO PEKEE.. UKIKAMILISHA HICHO, NDANI YA NKAMILISHO HUO KUTAZALIWA KINGINE KITAKACHOKURUDISHA KWENYE INFERIORITY COMPLEX ULIYOIKIMBIA.
Mkoani hakuna hata haja ya gari. Usafiri upo wa kutosha na unaweza hata kodi bajaji kwa bei nafuu.Ukiwa dsm gari muhimu sana..ila kama uko mkoani tafuta pikipiki au baisker maisha yasonge.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kanunue tu mwayaaa nawe ujimwambafaiiii kutembelea kalio
Ningeweza kurudisha miaka nyuma ningechagua kutonunua gari na matokeo yake ningefungua biashara ili isaidiane na kazi zangu katika kukuza uchumi.Japokuwa wanasema usifanye kitu kwa kuiga au kuhisi watu watakuonaje ila inafika point unaamua ufanye tu ili upate amani. Mimi ni kijana naishi Dar mshahara wangu ni kipato cha kati tu.
Sasa hapa ninapoishi vijana wenzangu wote wana magari kasoro mimi sasa naona kama najifeel inferior sana, niliwahi omba ushauri humu JF wengi walinishauri nisinunue gari kwa kufuata mkumbo ila sasa naona uzalendo umenifika hapa.
Nimepanga kununua gari nina akiba yangu ya 4M bank na ninaenda kukopa 3.5M naenda kununua ist. Kwa mliokwisha kuwa na magari ya mikopo staili hii ni changamoto gani ninaweza kukumbana nazo na je utakuwa uamuzi sahihi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jf raha sana, mabaharia wamempa ushauri sawa na mleta uzi anavyotaka.Unakopa Millions 3.5
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nunua gari wapite watu kwa kukaa
Umeongea kweli tupu.Kama unafeel inferior, kuna options hizi;
1. Hama mtaa unaoishi nenda ambako inferiority complex yako itaisha
2. Unusual gari kama unavyowaza lakini, ujuwe kuwa siku utakayoishiwa hata hela ya mafuta utafeel inferior tena. Hebu waza, umekatikiwa mafuta barabara, ile unahangaika na dumu mmoja wa wale marafiki wanakuona na dumu..!!!
UJUWE KUWA INFERIORIY COMPLEX HAITIBIWI KWA KUKAMILISHA KILE UNACHOKIONA KINAKUPA HALI HIYO PEKEE.. UKIKAMILISHA HICHO, NDANI YA NKAMILISHO HUO KUTAZALIWA KINGINE KITAKACHOKURUDISHA KWENYE INFERIORITY COMPLEX ULIYOIKIMBIA.
zipo show room tayar, unaweza ukaondoka nayo siku hiyo hiyo utembelee chasis au ulipie usubr siku tatu upate usajili kabisaInafika baada ya muda gani
Ukiwa DSM gari muhimu sana ila kama uko mkoani tafuta pikipiki au baiskeli maisha yasonge.
#MaendeleoHayanaChama
wewe endelea na maisha yakoSababu zako za kununua gari ni dhaifu sana, uwe na malengo ya zaidi na hilo, gari Dar inahudumiwa kwa average ya 20,000 kwa kila siku mwezi ni 600k, mshahara wako kama ni 900k monthly, siunaona unaingia kwenye dimbwi la 'urban silent poverty'
Truekanunue fasta,mimi nilinunua ninayo mwaka sasa,pamoja na vitisho vingi,nilipata amani ya moyo wangu,siku nikiamua napaki na nikiamua natembelea,sipangiwi na mtu...
Kuna mwanetu mmoja humu JF alijenga kerege akawa anaumia wese la kutoka Kerege hadi Daslam...sijui alikuwaga na Brevis au Fuga sikumbuki vizuri.
Atafute mazda demio anaweza pata kwa hio bei mpya from japanHakuna IST ya 7.5m nzima ndugu.. unaenda nunua matatzo... Utakuwa mteja wa fundi kila siku..
Ni bora ukanunua gari ndogo ya brand nyingne kwa hela hiyo lakini mpya..
Zipo swift, fun cargo.. vi nissan kibao..
Hiyo gari ya mkononi utajuta
Fanya kitu roho inapenda75% watumishi wenye magar wamekopaJapokuwa wanasema usifanye kitu kwa kuiga au kuhisi watu watakuonaje ila inafika point unaamua ufanye tu ili upate amani. Mimi ni kijana naishi Dar mshahara wangu ni kipato cha kati tu.
Sasa hapa ninapoishi vijana wenzangu wote wana magari kasoro mimi sasa naona kama najifeel inferior sana, niliwahi omba ushauri humu JF wengi walinishauri nisinunue gari kwa kufuata mkumbo ila sasa naona uzalendo umenifika hapa.
Nimepanga kununua gari nina akiba yangu ya 4M bank na ninaenda kukopa 3.5M naenda kununua ist. Kwa mliokwisha kuwa na magari ya mikopo staili hii ni changamoto gani ninaweza kukumbana nazo na je utakuwa uamuzi sahihi?
Uongo, af wasio wah kumilik magar ndio ushar wao huo yaaan wanataka kila mtu awe kama waoSababu zako za kununua gari ni dhaifu sana, uwe na malengo ya zaidi na hilo, gari Dar inahudumiwa kwa average ya 20,000 kwa kila siku mwezi ni 600k, mshahara wako kama ni 900k monthly, siunaona unaingia kwenye dimbwi la 'urban silent poverty'