Nimechoka, natafuta mume serious

Nimechoka, natafuta mume serious

Kwahiyo umeamua kuja JF kuomba ushauri. Haikuwa n maan ni bora ungenifany private nikupe njia za kunisahau. I DONT LOVE YOU ANYMORE.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anza kujitolea Mashirika ya Umma..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidie basi Makiwendo, nipate hata u-messenger ili ning'oe huyu mrembo!!

Kwanza hana makuu, yeye anachohitaji ni faraja ya moyo, u-serious na mtumishi wa umma!!

Hello my A love, hata nikiwa messenger tu si inatosha?!

Mi nipo serious ujue... I wanna take you deep into my heart my A Love!!

Makiwendo, usiishie kucheka tu basi... nipigie debe mwenzio!!
 
Upo Mkoa Gani?
Kwasasa Hivi Tulia Acha Kwanza Haraka Ya Kuolewa Pia Kutoa Jigijigi, Usipochukua Huu Ushauri Utavurugwa Watu Wanakuja Wanafanya Yao Wanakuacha
 
Kwa hili bandiko ni wazi mama mtu wa kufosi kingi! Hana ramani anataka ainvest kwenye kumpush mwanaume kwa return ya ndoa!😅😅😅 hata mi naona atafte kazi tu mume atakuja mwenyewe
Hakuna Mjinga Nyakati Hii
Kila Mtu Anataka Ashinde Match Zake
Hili Suala La Ndoa Linaleta Tabu Kubwa Hapa
Kila Mtu Anataka Analotaka Yeye Liwe
 
Upo Mkoa Gani?
Kwasasa Hivi Tulia Acha Kwanza Haraka Ya Kuolewa Pia Kutoa Jigijigi, Usipochukua Huu Ushauri Utavurugwa Watu Wanakuja Wanafanya Yao Wanakuacha
Do you have the daughter?

This's a fatherly and maturity advice, and I hope my A love will take it...

The BIGGEST MISTAKE she did, ni kurukia kwa mwanaume mwingine eti ili amsahaulishe yule wa mwanzo!!

Nilikutana na mdada mmoja, na nilikuwa serious aisee lakini kosa ambalo alifanya ni kuniambia alikuwa amesalitiwa na boyfriend wake recently... nikajua kabisa kwamba asingenifaa!!

Sema unatusagia kunguni, Mwamba...
 
Habari zenu, Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu, jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5, ikafika muda akataka aende home kupeleka mahari lakini baadae alisema kuwa nimpe muda ili atafute pesa zaidi, nilikubali lakin ilivofikia mwaka huu mwezi wa saba akasema tuachane , hivyo nilimkubalia maana mahusiano hayalazimishwi.

Ikumbukwe huyo kaka wakati nipo nae nilikuwa nikikataa wanaume wengine waliokuwa wakinifuata , baada ya kumuona yupo serious, niliamua kufanya nae malengo,Mimi ninapenda biashara japo elimu yangu chuo sikusomea mambo ya biashara, nilimshauri pamoja na kufanya nae mambo mengi sana, taratibu akaanza kutoka hatuwa aliyokuwa nayo na kwenda hatua ya juu zaidi ya kimaendeleo.

Baada ya kuona nimeshampenda ilifika hatua hadi alihama alipoishi bila kuniambia,lakini mim naishi na wazazi , baada ya Mimi kupafahamu kwake matokeo yake alinitambulisha kuwa mim n mdogo wake niliumia sana na ndy mwanzo wa kunifanya visa hadi tukaachana niliumia sana maana nilimpenda mno.

Sikutaka kupoteza muda pia kuna kaka alikuwa akinitaka niliamua kumkubalia ili nizidi kupoteza mawazo na kumsahau haraka yule wa mwanzo ,tulianza vizuri lakini na yeye yapita wiki moja Sasa tumesha achana, nilichokigundua kwake hakuwa serious na hatahivyo alitaka nimpende kwa pesa zake hivyo alitumia nguvu nyingi kunionesha alivyonavyo, baada ya Mimi kuona nimempima kwa vipimo vyangu ndipo aligundua kuwa nimejua anacho hitaji na kukndoka mwenyewe.

Ndg zangu yote haya yaliyo nikuta , kusema Ukweli ninahitaji faraja ya moyo saana ,maana ninatamani kuwa na mahusiano serious lakini wanaume kwa Sasa hawaeleweki, hata wawe wachaMungu ,hakuna lolote, inshot mi napenda kusali(mkristu) lakini mkaka akishajua jinsi ulivyo nae anakuja kwa style hiyo hiyo Ninahisi kwa Sasa hakuna waoaji maana nimekata tamaa kabisa.

Natamani sana kuwa hata na mpenzi anayejitambua , anayejua kutafuta pesa ,ambaye hajaoa wala Hana mtoto ,maana Mimi pia Sina mtoto, awe mtumishi wa uma , zaidi ya yote awe mchamungu .
Wataalam wa mambo wanasema unapo achana na mwenza wako inatakiwa ukae atlist miezi sita.

Hii itakupa muda mzuri wa kujitafakari, kumove on, na kujipanga upya ilo usikurupuke hususani pale mwanzo mnapo achana huwa kuna ile hali fulani ya kutaka kuonyeshana kwamba nimepata mwingine bora zaidi yako. Kitendo ambacho wengi huaribu bila kujua wanaharibu.
 
Habari zenu, Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu, jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5, ikafika muda akataka aende home kupeleka mahari lakini baadae alisema kuwa nimpe muda ili atafute pesa zaidi, nilikubali lakin ilivofikia mwaka huu mwezi wa saba akasema tuachane , hivyo nilimkubalia maana mahusiano hayalazimishwi.

Ikumbukwe huyo kaka wakati nipo nae nilikuwa nikikataa wanaume wengine waliokuwa wakinifuata , baada ya kumuona yupo serious, niliamua kufanya nae malengo,Mimi ninapenda biashara japo elimu yangu chuo sikusomea mambo ya biashara, nilimshauri pamoja na kufanya nae mambo mengi sana, taratibu akaanza kutoka hatuwa aliyokuwa nayo na kwenda hatua ya juu zaidi ya kimaendeleo.

Baada ya kuona nimeshampenda ilifika hatua hadi alihama alipoishi bila kuniambia,lakini mim naishi na wazazi , baada ya Mimi kupafahamu kwake matokeo yake alinitambulisha kuwa mim n mdogo wake niliumia sana na ndy mwanzo wa kunifanya visa hadi tukaachana niliumia sana maana nilimpenda mno.

Sikutaka kupoteza muda pia kuna kaka alikuwa akinitaka niliamua kumkubalia ili nizidi kupoteza mawazo na kumsahau haraka yule wa mwanzo ,tulianza vizuri lakini na yeye yapita wiki moja Sasa tumesha achana, nilichokigundua kwake hakuwa serious na hatahivyo alitaka nimpende kwa pesa zake hivyo alitumia nguvu nyingi kunionesha alivyonavyo, baada ya Mimi kuona nimempima kwa vipimo vyangu ndipo aligundua kuwa nimejua anacho hitaji na kukndoka mwenyewe.

Ndg zangu yote haya yaliyo nikuta , kusema Ukweli ninahitaji faraja ya moyo saana ,maana ninatamani kuwa na mahusiano serious lakini wanaume kwa Sasa hawaeleweki, hata wawe wachaMungu ,hakuna lolote, inshot mi napenda kusali(mkristu) lakini mkaka akishajua jinsi ulivyo nae anakuja kwa style hiyo hiyo Ninahisi kwa Sasa hakuna waoaji maana nimekata tamaa kabisa.

Natamani sana kuwa hata na mpenzi anayejitambua , anayejua kutafuta pesa ,ambaye hajaoa wala Hana mtoto ,maana Mimi pia Sina mtoto, awe mtumishi wa uma , zaidi ya yote awe mchamungu .
Kwa maelezo yako, nakushauri utulie kwanza vinginevyo unatafuta maumivu zaidi.
......ushauri wangu.....

1. Usiingie kwenye mahusiano ukiwa na maumivu..utaishia kuliwa tu na kuachwa.

2. Jipende mwenyewe zaidi na ujione wa thamani na epuka mahusiano vinginevyo kwa hali uliyo nayo wanaume wata take advantage.

3. 23yrs wewe bado mdogo mno kukata tama tunza hilo tumbua kwa mda hadi roho yako ipoee kabisa.
 
Kwa hili bandiko ni wazi mama mtu wa kufosi kingi! Hana ramani anataka ainvest kwenye kumpush mwanaume kwa return ya ndoa![emoji28][emoji28][emoji28] hata mi naona atafte kazi tu mume atakuja mwenyewe
Sema kuna watu najua watautumia uo umri "technically" wakijua watamuacha tu she is still young and fresh to bite mbaya zaidi ana haraka na anacho kitaka
 
Tatizo ulianza mapenzi kabla ya miaka 18. Yawezekana huyo uliyekuwa naye kwa wiki moja kaona udhaifu wa maumbile yako. Kama sio uke basi maziwa yamelala.

Post fulani pia inaonesha Umedanganya umri wakati unatafuta kazi. Anyway, mimi sifa unazotaka ninazo zote ila nakula tungi balaa. Kama unaweza pm ipo wazi.
HAPANA.

Mkuu unamhisi mtu hupaswi kuandika hivi, usiruhusu kufanya maamuzi kwa kuongozwa na hisia ni kitu kibaya sana kinakushishia ata heshima yako.
 
Sema kuna watu najua watautumia uo umri "technically" wakijua watamuacha tu she is still young and fresh to bite mbaya zaidi ana haraka na anacho kitaka
Yeah kwa kweli ni mdogo to be someones wife! Ndoa ni zaidi ya kutiana na kupigiana masimu kuna majukumu mengine.
 
Hili tangazo lako ungepeleka ofisi za halmashauri huko utawapata wafanyakazi wa serikali.
Jamii forum wengi ni wafanya biashara, madalali na jobless
 
Habari zenu, Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu, jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5, ikafika muda akataka aende home kupeleka mahari lakini baadae alisema kuwa nimpe muda ili atafute pesa zaidi, nilikubali lakin ilivofikia mwaka huu mwezi wa saba akasema tuachane , hivyo nilimkubalia maana mahusiano hayalazimishwi.

Ikumbukwe huyo kaka wakati nipo nae nilikuwa nikikataa wanaume wengine waliokuwa wakinifuata , baada ya kumuona yupo serious, niliamua kufanya nae malengo,Mimi ninapenda biashara japo elimu yangu chuo sikusomea mambo ya biashara, nilimshauri pamoja na kufanya nae mambo mengi sana, taratibu akaanza kutoka hatuwa aliyokuwa nayo na kwenda hatua ya juu zaidi ya kimaendeleo.

Baada ya kuona nimeshampenda ilifika hatua hadi alihama alipoishi bila kuniambia,lakini mim naishi na wazazi , baada ya Mimi kupafahamu kwake matokeo yake alinitambulisha kuwa mim n mdogo wake niliumia sana na ndy mwanzo wa kunifanya visa hadi tukaachana niliumia sana maana nilimpenda mno.

Sikutaka kupoteza muda pia kuna kaka alikuwa akinitaka niliamua kumkubalia ili nizidi kupoteza mawazo na kumsahau haraka yule wa mwanzo ,tulianza vizuri lakini na yeye yapita wiki moja Sasa tumesha achana, nilichokigundua kwake hakuwa serious na hatahivyo alitaka nimpende kwa pesa zake hivyo alitumia nguvu nyingi kunionesha alivyonavyo, baada ya Mimi kuona nimempima kwa vipimo vyangu ndipo aligundua kuwa nimejua anacho hitaji na kukndoka mwenyewe.

Ndg zangu yote haya yaliyo nikuta , kusema Ukweli ninahitaji faraja ya moyo saana ,maana ninatamani kuwa na mahusiano serious lakini wanaume kwa Sasa hawaeleweki, hata wawe wachaMungu ,hakuna lolote, inshot mi napenda kusali(mkristu) lakini mkaka akishajua jinsi ulivyo nae anakuja kwa style hiyo hiyo Ninahisi kwa Sasa hakuna waoaji maana nimekata tamaa kabisa.

Natamani sana kuwa hata na mpenzi anayejitambua , anayejua kutafuta pesa ,ambaye hajaoa wala Hana mtoto ,maana Mimi pia Sina mtoto, awe mtumishi wa uma , zaidi ya yote awe mchamungu .
Kama kuna kosa kubwa umefanya hapa nikuelezea historia yako ya mapenzi hili litakugharimu hata ikitokea ukapata humu siku akisoma hili bandiko lazima akudharau.
Kwenye mapenzi anza upya usitaje uliyo yapitia
 
Nisaidie basi Makiwendo, nipate hata u-messenger ili ning'oe huyu mrembo!!

Kwanza hana makuu, yeye anachohitaji ni faraja ya moyo, u-serious na mtumishi wa umma!!

Hello my A love, hata nikiwa messenger tu si inatosha?!

Mi nipo serious ujue... I wanna take you deep into my heart my A Love!!

Makiwendo, usiishie kucheka tu basi... nipigie debe mwenzio!!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sawa Chige....Tupambane upate hata umessenger ung'oe mrembo[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 23 umeshakua kwenye mahusiano for 5yrs!

Miaka 23 tayari mahusiano yanakupa stress na sasa unatafuta mme mitandaoni.

Miaka 23 bado binti mbichi sana kuumwa kichwa kwa ajili ya mahusiano.

Utapata mme umechoka sana. Good luck
Hawa wanaananza uhusianao wakiwa 16yrs hari kufika 23 ndio huona wanaume "wote ni mbwa"!!

Na ni kweli huwa nawashangaa niggaz wanajikuta kudata na vikongwe vibobezi kwenye udangaji na kupapatika kutaka kuoa makombo
 
Habari zenu, Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu, jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5, ikafika muda akataka aende home kupeleka mahari lakini baadae alisema kuwa nimpe muda ili atafute pesa zaidi, nilikubali lakin ilivofikia mwaka huu mwezi wa saba akasema tuachane , hivyo nilimkubalia maana mahusiano hayalazimishwi.

Ikumbukwe huyo kaka wakati nipo nae nilikuwa nikikataa wanaume wengine waliokuwa wakinifuata , baada ya kumuona yupo serious, niliamua kufanya nae malengo,Mimi ninapenda biashara japo elimu yangu chuo sikusomea mambo ya biashara, nilimshauri pamoja na kufanya nae mambo mengi sana, taratibu akaanza kutoka hatuwa aliyokuwa nayo na kwenda hatua ya juu zaidi ya kimaendeleo.

Baada ya kuona nimeshampenda ilifika hatua hadi alihama alipoishi bila kuniambia,lakini mim naishi na wazazi , baada ya Mimi kupafahamu kwake matokeo yake alinitambulisha kuwa mim n mdogo wake niliumia sana na ndy mwanzo wa kunifanya visa hadi tukaachana niliumia sana maana nilimpenda mno.

Sikutaka kupoteza muda pia kuna kaka alikuwa akinitaka niliamua kumkubalia ili nizidi kupoteza mawazo na kumsahau haraka yule wa mwanzo ,tulianza vizuri lakini na yeye yapita wiki moja Sasa tumesha achana, nilichokigundua kwake hakuwa serious na hatahivyo alitaka nimpende kwa pesa zake hivyo alitumia nguvu nyingi kunionesha alivyonavyo, baada ya Mimi kuona nimempima kwa vipimo vyangu ndipo aligundua kuwa nimejua anacho hitaji na kukndoka mwenyewe.

Ndg zangu yote haya yaliyo nikuta , kusema Ukweli ninahitaji faraja ya moyo saana ,maana ninatamani kuwa na mahusiano serious lakini wanaume kwa Sasa hawaeleweki, hata wawe wachaMungu ,hakuna lolote, inshot mi napenda kusali(mkristu) lakini mkaka akishajua jinsi ulivyo nae anakuja kwa style hiyo hiyo Ninahisi kwa Sasa hakuna waoaji maana nimekata tamaa kabisa.

Natamani sana kuwa hata na mpenzi anayejitambua , anayejua kutafuta pesa ,ambaye hajaoa wala Hana mtoto ,maana Mimi pia Sina mtoto, awe mtumishi wa uma , zaidi ya yote awe mchamungu .
tunaopenda kwa dhati ndo tunaoumizwa kila siku hakika mapenzi ni utamu unaoumiza so sad
 
Back
Top Bottom