Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mama mimi ndiye jibu la moyo wako kalbu Sana imboxHabari zenu wana jf, Mimi yule dada niliyepost kuwa natafuta Mume.
Kwanza naomba nibadili imani za baadhi ya watu ,maana wengi wao wamenipondea kwa kusema kuwa siwez pata aliye sahihi maana wengi ni janua janja.
Ipo hivi, hii ni njia tuu niliyotumia ambayo inaweza tumiwa na mtu yoyote yule ,kwa sababu Wana jf ndy watu hao hao unapishana nao barabarani na sehemu yoyote ile , hivyo kuna waongo , wakweli, matapeli, wachamungu, majambazi, wamalaya, wenye nia ya kweli kwa kutafuta mwenzi, wanaonipima imani, wachawi n.k , yote haya nafahamu.
Pia hakuna mtu hata mmoja nilie muendea nikaanza kumshawishi kwa kumwambia kuwa Mimi nakutaka au nmekupenda ,bali Ni wao baada ya kuona nilichosema , inshot pm kwangu kumechafuka mno , maana natafutwa .
Katika msafara wa Mamba na kenge wamo, naelewa ,najitambua, kufanya hivyo sio kwamba mim n Malaya au nimekosa maadili no msinidefine hivyo guys, pia kila mtu ana machaguzi yake , naweza pata 200 ila alie serious Ni mmoja , .
Njoo pm tuongee vizuriUnae mtukana nani Sasa, em fikiria kabla haujajibu sms ,
Ngoja ninunue bundle, nije PM tubonge!!
Trust me, nitakusahaulisha huyo Mtesi wa Pisi Changa!! Sema dah, sijui ndo nianze kutuma applications utumishi, au nizame tu hivyo hivyo!
Unaishi wpNifahamike na Nani?
Kwa hii mbinu nakuhakikishia harukiDada mimi nikamwambie jambo tu!! Kudeclear kuwa wewe ni mkristo, hakuzuii watu wabaya kuja, kumbuka tunamwabudu Mungu katika roho, na mimi Dada angu nikwambie tunda la roho ni uvumilivu, sasa kama mtu si wa nuru, na akaamua ku pretend kuwa ni wa Nuru(Yesu) basi mpe mda tu,usiwe na haraka , mwambie Mungu, naye atamvua nguo bila hata wewe kuhangaika, kumbuka tunaambiwa tuishi katika roho na sio mwili, acha kuwahukumu (uzuri/ubaya) kwa kuangalia kwa macho ya kibanadamu, angalia ni wapi , una mapungufu, Shetani hutumia mlango huo huo kutaka kukuangamiza kukuletea watu fake kwenye maisha yako, simama imara, usijitambulishe ucha Mungu wako,
Mfano hapa sasa umepost huoni kuwa utaletewa jiwe,ugeuze liwe mkate,
Anyway pole sana
Naomba tuwasiliane +255659325453
Kwenye kutafuta kazi ana miaka 24 ila kutafuta mwanaume ana miaka 23
Wabongo kwa ku Google [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawajambo bhana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akili kubwa,maelezo yake yamepambanua tatizo lilipo.Baada ya kupimana na huyo wa pili akagundua unafosi kuolewa akasepa sio?
Tatizo unajiona perfect halafu unapenda kufosi mambo. Mwanaume akitaka kukuoa atafanya hivyo tu wala usitumie nguvu kumfosi[emoji28]! Its the energy within us...
You are still young kukimbilia ndoa. Get a life atleast ukaribie 30”s...Mwanaume anayejitambua hawezi kuinvest kwa 23 year old girl!
Kama ulicho kiandika ni kweli na Kama haujampata niruhusu ni ku mp, hata kama hatokuwa mimi basi nitakupa ushauri namna ya kuondoka kwenye dimbwi hilo la mawazo na utasimama tena, maana kushindana kwetu si katika damu na nyama bali ni katika roho mtakatifu.Habari zenu, Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu, jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5, ikafika muda akataka aende home kupeleka mahari lakini baadae alisema kuwa nimpe muda ili atafute pesa zaidi, nilikubali lakin ilivofikia mwaka huu mwezi wa saba akasema tuachane , hivyo nilimkubalia maana mahusiano hayalazimishwi.
Ikumbukwe huyo kaka wakati nipo nae nilikuwa nikikataa wanaume wengine waliokuwa wakinifuata , baada ya kumuona yupo serious, niliamua kufanya nae malengo,Mimi ninapenda biashara japo elimu yangu chuo sikusomea mambo ya biashara, nilimshauri pamoja na kufanya nae mambo mengi sana, taratibu akaanza kutoka hatuwa aliyokuwa nayo na kwenda hatua ya juu zaidi ya kimaendeleo.
Baada ya kuona nimeshampenda ilifika hatua hadi alihama alipoishi bila kuniambia,lakini mim naishi na wazazi , baada ya Mimi kupafahamu kwake matokeo yake alinitambulisha kuwa mim n mdogo wake niliumia sana na ndy mwanzo wa kunifanya visa hadi tukaachana niliumia sana maana nilimpenda mno.
Sikutaka kupoteza muda pia kuna kaka alikuwa akinitaka niliamua kumkubalia ili nizidi kupoteza mawazo na kumsahau haraka yule wa mwanzo ,tulianza vizuri lakini na yeye yapita wiki moja Sasa tumesha achana, nilichokigundua kwake hakuwa serious na hatahivyo alitaka nimpende kwa pesa zake hivyo alitumia nguvu nyingi kunionesha alivyonavyo, baada ya Mimi kuona nimempima kwa vipimo vyangu ndipo aligundua kuwa nimejua anacho hitaji na kukndoka mwenyewe.
Ndg zangu yote haya yaliyo nikuta , kusema Ukweli ninahitaji faraja ya moyo saana ,maana ninatamani kuwa na mahusiano serious lakini wanaume kwa Sasa hawaeleweki, hata wawe wachaMungu ,hakuna lolote, inshot mi napenda kusali(mkristu) lakini mkaka akishajua jinsi ulivyo nae anakuja kwa style hiyo hiyo Ninahisi kwa Sasa hakuna waoaji maana nimekata tamaa kabisa.
Natamani sana kuwa hata na mpenzi anayejitambua , anayejua kutafuta pesa ,ambaye hajaoa wala Hana mtoto ,maana Mimi pia Sina mtoto, awe mtumishi wa uma , zaidi ya yote awe mchamungu .
Kuna uzi aliandika kutafuta kazi Disemba hii hii.Eti mtumishi wa, umma wewe ata utumishi wa kijiko unao....?
Pole sana, na kila la kheri...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana hukomi...
🤣🤣...Shida ilianza hapaawe mtumishi wa uma