Nimechoka Upweke...

Status
Not open for further replies.
Umenikumbusha mbali....kuna jamaa mmoja alitaka kuoa kanisani akapoint binti ila katika maelezo jamaa akasema hana kazi, hana nyumba yule binti akachomoa....kumbe bwana jamaa alikuwa ana nyumba nzuri na kazi ya permanent....alivyochomoa yule jamaaa mwaka uliofuata akaoa mtu mwingine pale pale kanisani kwa trick ileile yule wapili akakubali kumbe jamaaa ni tofauti na alivyokuwa anasema....
 
Ila kwa hili Mimi Ni mkweli Sina chochote zaidi ya ubongo unaofanya kazi....
 
Jasiri aachi asili hutumii bangi ila siku ukikutana nayo lazima upige.Kuwa mkweli
 
Ko,jamaa alidanganya mbele ya madhabahu mara 2??
 
Umeandika vzuri sana kk....all the best kwenye hili swala. Lkn,nna swal moja tu, what happened kwa wamama wa hao watoto??
 
Daah mie mwembamba lkn huwa nanenepa fasta tu nikiridhika
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…