Nimechoka Upweke...

Status
Not open for further replies.
Jasiri aachi asili hutumii bangi ila siku ukikutana nayo lazima upige.Kuwa mkweli
Never Brother.... Mungu anaweza kumbadilisha Mtu mpaka ukashangaa... Miaka kumi na nane Bila Pombe Sigara na Bangi Siyo mchezo... Na situmii nguvu kuishinda tamaaa... Ni Mungu Mwenyewe
 
Umeandika vzuri sana kk....all the best kwenye hili swala. Lkn,nna swal moja tu, what happened kwa wamama wa hao watoto??
Kifupi niliishi kwenye Ndoa Tamu Sana mpaka majirani walifurahia.. but ndugu muogope ibilisi shetani alichokifanya... Only God knows
 
Usijali! Maisha ni safari ndefu, ukipata mwanamke muwazi kama wewe mtatoboa. Kwa kuwa maisha ni mchezo, mtafundishana.
 
16m?? Ndogo sana hio...watu tina deni la 25M [emoji2] afu tuko fresh tu kitaa
Mkuu ulikopa kujenga ghorofa, kufungua kampuni au msomo?
Hilo balaa mbona...halafu una mpango wa kulipa au huna?
 
Ko,jamaa alidanganya mbele ya madhabahu mara 2??
No, hilo swali hakuulizwa madhabahuni ni ktk hali ya melezo kwa waolewaji.....
story zilikuja vuja kwa maaana alayeolewa alikuwa rafiki na yule aliyekataaa....hahaaaaa....halafu the fun fact one among the three was my distant family member so kwa mimi story niliipata kama mwana familia hahaaaaaaa.....
 
Mkuu hizo SINA ni za john sina au sina yaani huna kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huna kazi, huna hela, huna nyumba na una deni kubwa la 2.4M sasa hizo kilo 84 umezipataje??
Kwa hali uliyo nayo ilitakiwa uwe na kilo 50 kushuka chini!!
By the way kwa kilo hizo ulizo nazo (84kg) haziendani kabisa na urefu wako (1.7m) yaani unaonekana ni ki Lemutuz kingine mjini na sidhani Kama utakua na uwezo wa kumpiga mbupu na kumridhisha huyo unaemtafuta humu kwa ubonge nyanya huo.
Zaidi sana utacreate matatizo mengine tu Kama kuchapiwa nje ukufe kwa presha siku sio nyingi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…