Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Aisee pole sana mkuu,ndo maisha kakaNiliwahi kuwa na familia yenye Hofu ya Mungu, amani, Baraka na furaha tele kwa Miaka nane Mkuu, Usingeamini kama ningefika Huku... Only God knows shetan alichofanya..
Sent using Jamii Forums mobile app