Nimechoka Upweke...

Status
Not open for further replies.
Mkuu hapa nimepungua nilifikisha 94 kiasili Mimi Ni mwembama... Ila Huwezi amini naishi na Amani ya Kimungu ndani yangu ndiyo inaniwezesha kuishi... Sitaweza kukonda kwa Mawazo hata kidogo situation nimemwachia Mungu Mwenyewe... Shida zangu kwake Ni punje tuu
 
Halafu Siyo mnene Kama unavyolinganisha... Ni mifupa tuu mizito... Kuhusu kuchapiwa Ni tabia ya Mtu hata uweje mtu atafanya anavyotaka... Haya Maisha Ni kumwachia Mungu atulinde kwa Hali tuliyofikia hata ufanyeje Bila nguvu na msaada wa Mungu hakuna tutakachoweza..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwa
Maden umetsha mkuu[emoji23]
Hili Deni dogo Sana Mkiwa na Nia Ni jepesi mno kunimaliza... Mungu akiwa upande wenu... Si umeona kwa mfano Huo tuu mwaka mmoja kwishney
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwa
Maden umetsha mkuu[emoji23]
Hili Deni dogo Sana Mkiwa na Nia Ni jepesi mno kunimaliza... Mungu akiwa upande wenu... Si umeona kwa mfano Huo tuu mwaka mmoja kwisney
 
Hili Deni dogo Sana Mkiwa na Nia Ni jepesi mno kunimaliza... Mungu akiwa upande wenu... Si umeona kwa mfano Huo tuu mwaka mmoja kwisney
Ehh kwa maaneno kwel linakuwa kwshney sasa kasheshe n practically[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo kwenye madeni tu ndipo panawatafakarisha warembo
 
Kazi- huna
Hela- huna
Nyumba -huna
At 40yrs hujajenga?
Hayo maden sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

All the best.
 
hapo kwa
Maden umetsha mkuu[emo

Ehh kwa maaneno kwel linakuwa kwshney sasa kasheshe n practically[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikwambie Kitu Dada yangu... Hakuna kitu kigumu ukiwa na Nia ya dhati.. Hiyo fedha unaweza kuimaliza kuilipa hata ndani ya miezi mitatu... Kwenye maisha tunateleza ili tujifunze Kuinuka na nguvu kubwa... Mungu anasema usiogope... Tusiogope... Ukiniona barabarani huwezi amini Ni mtu mwenye shida zote hizo. Never Stop the race....!!!!
 

Sasa bro mm nina twenty five pia natafuta wakukunja tu vizuri ila kwenye kumelife siko teyar
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…