[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unafanana na mimi mkuu!Nina miaka 55 na vitu pekee ninavyomiliki ni ndevu pamoja na dushe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10] kwenye madeni hapo mzeee, umewabadili mawazo.
Ehh sawa[emoji16]Wapi ndugu... Ukweli naona Kama unaniponza... Ngoja niendelee kumsubiri Mungu... Hope Ana mipango mema na Mimi
Acha uwongo mkuu. Unamiliki vingi vya thamani...mfano ..makalio [emoji3][emoji3][emoji3]Unafanana na mimi mkuu!Nina miaka 55 na vitu pekee ninavyomiliki ni ndevu pamoja na dushe.
Pole sana mkuuu
Lakini miaka 40 hauna ata mahusiano mpk ukuje kutafuta uku?
mimi nazani pia ungeolozesha na kero ulizo nazo mpk ujapata mke huo umri,
maybe ukiachilia mbali ulevi,bangi,na sigara unaweza kuwa na tabia ambayo haimpendezi mwanamke au haisitaili
Kama una gubu, dharau hapo itakuwa changamoto kupata
Gubu: mwanaume muongeaji,mfatiaji wa mambo yasio msitaili, uchoyo, wivu wa usio staili nk..
Dharau: mwanaume mwenye mkono wa kupiga, asiye jali wala kudhamin mke, mbabe, asiye jali wala kujua thamani ya mke
Kama upo katika hayo makundi kwanza jitathimini kbla kuoa tena...
Hapana natakiwa Kupambana Mwenyewe.. Kikubwa Ni ajue kuwa Kuna fedha zinafukia Mashimo... Asitake Wax wakati Nampa DelaUkishampata cha kwanza akulipie hilo deni.
Hivi hata pesa ya kumnunulia madera utakuwa nayo? Maana hilo deni limetishia amani.. Angalia bwana usije olea watu.Hapana natakiwa Kupambana Mwenyewe.. Kikubwa Ni ajue kuwa Kuna fedha zinafukia Mashimo... Asitake Wax wakati Nampa Dela
Mtu huyu ana hadi email alaf kazi hana alaf bado ana chagua mke wa kuoa eet awe mwembamba
2.4milion Ni Deni kubwa???... Kwa aina ya Utafutaji wangu Mungu akinipa Kibali Ni Mwezi mmoja tuu.. Je unajua tangu niweke Hi Post nishapunguza 200k na Maisha yanaenda?? Katika Ulimwengu wa Utafutaji madeni hayakwepeki. Kibaya Ni kudaiwa Hela uliyotumia katika Anasa na Upuuzi mwingine.Hivi hata pesa ya kumnunulia madera utakuwa nayo? Maana hilo deni limetishia amani.. Angalia bwana usije olea watu.
Tatizo uzi wenyewe umekaa Kinyonge nyonge sana...Ndio maana nikasema huyo mkwe ataweza kununuliwa hata kijora cha elfu 7? Anyway...Pambana mwanangu.2.4milion Ni Deni kubwa???... Kwa aina ya Utafutaji wangu Mungu akinipa Kibali Ni Mwezi mmoja tuu.. Je unajua tangu niweke Hi Post nishapunguza 200k na Maisha yanaenda?? Katika Ulimwengu wa Utafutaji madeni hayakwepeki. Kibaya Ni kudaiwa Hela uliyotumia katika Anasa na Upuuzi mwingine.
Tuombeane Heri Mkuu Ni changamoto zinajitokeza Unajikuta unarudi zero... But God is Great One day yes Na Mke nitapata humuhumu Jamvini.Tatizo uzi wenyewe umekaa Kinyonge nyonge sana...Ndio maana nikasema huyo mkwe ataweza kununuliwa hata kijora cha elfu 7? Anyway...Pambana mwanangu.
Ameeen...Nakuombea sana..Maisha ni mapambano. Usiache kutupa mrejesho ukimpata mkeo humu.Tuombeane Heri Mkuu Ni changamoto zinajitokeza Unajikuta unarudi zero... But God is Great One day yes Na Mke nitapata humuhumu Jamvini.
Usijali Mkuu na Pilau Mpaka Mods watakula na Member Kibao humu nitawaalika...Ameeen...Nakuombea sana..Maisha ni mapambano. Usiache kutupa mrejesho ukimpata mkeo humu.
Dah...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unafanana na mimi mkuu!Nina miaka 55 na vitu pekee ninavyomiliki ni ndevu pamoja na dushe.
Dah...hebu mwaga sifa zako....tuanzishe uzi ...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimependa tu vile uko mkweli, unluckily sina sifa hata moja hapo, walaqhi' ningekukujia.!
Saaafiii...Naomba kati ya utakaowaalika nami usinisahu.Usijali Mkuu na Pilau Mpaka Mods watakula na Member Kibao humu nitawaalika...
Saaafiii...Naomba kati ya utakaowaalika nami usinisahu.