Nimechoka Upweke...

Nimechoka Upweke...

Status
Not open for further replies.
Pole sana mkuuu

Lakini miaka 40 hauna ata mahusiano mpk ukuje kutafuta uku?

mimi nazani pia ungeolozesha na kero ulizo nazo mpk ujapata mke huo umri,

maybe ukiachilia mbali ulevi,bangi,na sigara unaweza kuwa na tabia ambayo haimpendezi mwanamke au haisitaili

Kama una gubu, dharau hapo itakuwa changamoto kupata

Gubu: mwanaume muongeaji,mfatiaji wa mambo yasio msitaili, uchoyo, wivu wa usio staili nk..

Dharau: mwanaume mwenye mkono wa kupiga, asiye jali wala kudhamin mke, mbabe, asiye jali wala kujua thamani ya mke

Kama upo katika hayo makundi kwanza jitathimini kbla kuoa tena...
 
Mkuu Usilolijua Ni Usiku wa Giza...

Mtu huyu ana hadi email alaf kazi hana alaf bado ana chagua mke wa kuoa eet awe mwembamba
 
Hapana natakiwa Kupambana Mwenyewe.. Kikubwa Ni ajue kuwa Kuna fedha zinafukia Mashimo... Asitake Wax wakati Nampa Dela
Hivi hata pesa ya kumnunulia madera utakuwa nayo? Maana hilo deni limetishia amani.. Angalia bwana usije olea watu.
 
Sasa Mkuu email si kitu Cha Kawaida?? Pia kukosa Kazi Ni Jambo la Kawaida....Kuchagua pia Ni upendeleo wa Mtu. Si kwa vile Sina Basi nipokee chochote tuu.
Enjoy the moment boss.
Mtu huyu ana hadi email alaf kazi hana alaf bado ana chagua mke wa kuoa eet awe mwembamba
 
Hivi hata pesa ya kumnunulia madera utakuwa nayo? Maana hilo deni limetishia amani.. Angalia bwana usije olea watu.
2.4milion Ni Deni kubwa???... Kwa aina ya Utafutaji wangu Mungu akinipa Kibali Ni Mwezi mmoja tuu.. Je unajua tangu niweke Hi Post nishapunguza 200k na Maisha yanaenda?? Katika Ulimwengu wa Utafutaji madeni hayakwepeki. Kibaya Ni kudaiwa Hela uliyotumia katika Anasa na Upuuzi mwingine.
 
Tatizo uzi wenyewe umekaa Kinyonge nyonge sana...Ndio maana nikasema huyo mkwe ataweza kununuliwa hata kijora cha elfu 7? Anyway...Pambana mwanangu.
 
Tuombeane Heri Mkuu Ni changamoto zinajitokeza Unajikuta unarudi zero... But God is Great One day yes Na Mke nitapata humuhumu Jamvini.
 
Ameeen...Nakuombea sana..Maisha ni mapambano. Usiache kutupa mrejesho ukimpata mkeo humu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom