Nimechoka Upwekee, Nahitaji Mwenza

Status
Not open for further replies.
Aah sikubishii ila nani kakuconfirmia hunuki, maana hata wanaonuka huwa hawajijui hadi waambiwe wewe sema nani alikunusa akakupa hilo jibu kwamba hunuki hata masikio tu?
Mbona umeifanya mada my dear? Kunuka siyo kitu cha kawaida ..Mimi najijua ni msafi, najipenda na pia naambiwaga...Sinuki hata nikitoka kuamka kama hutaki basi siyo lazima tufanane
 
Mbona umeifanya mada my dear? Kunuka siyo kitu cha kawaida ..Mimi najijua ni msafi, najipenda na pia naambiwaga...Sinuki hata nikitoka kuamka kama hutaki basi siyo lazima tufanane
πŸ˜‚πŸ˜‚ haya mama acha nifunge hii mada. Nilikua nakuchokoza tu. Kila rakheri upate hitaji la moyo wako na ukipata wengi please nipasie hata 1 tu.
 
Nenda Badoo wapo maseka kibao yaani
 
Umesahau kuweka kiwango chako ulichowahi kuhonga kuanzia kidogo hadi kile cha juu kabisa.
😜
 
Jitose.

Mlipie hiyo 2.4 anayodaiwa afu uone kunaendaje.
Nashukuru Kwa kujali. Japo Sikuwa na Maana ya kulipiwa.. Just Kuwa muwazi Kuwa some money zitaenda Kufukia Mashimo...!! Deni linakaribia kuisha.. Kabla ya December!! God is Great!! Mpaka Sasa nishalipa 1.9m Although Watu walichukulia kama Mzaha.. You people hamjui Watu wanapitia Nini.. But Secondly She is To Young to be My Lover.... We will Never Stop The Race .....πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ. Nilichojifunza ni Kuwa Watu Wengi ni waoga sana Kuamini na kuthubutu...But If You Try You will know Your Capabilities.... All the Best in this Journey of Life....
 
Wwe ni Mjasiliamali wa shughuli gani!? Na uko mkowa gani!?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…