suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,073
- Thread starter
- #61
Ndiyohadi ku ma hunuki ? baada ya gemu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyohadi ku ma hunuki ? baada ya gemu ?
NdiyoUna uhakikaa na unachokisema!?
Basi umuumbe wa kwako dear maana unamasharti kumzidi hata kalumanzira..lohSidhani kama tunaendana my dear. Thank you though.
Wewe sasa 🤣🤣Suzi karibu kwangu, napiga mswaki mara 3 kwa siku.. [emoji23]
Masharti gani? Ya kutonuka mdomo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi umuumbe wa kwako dear maana unamasharti kumzidi hata kalumanzira..loh
Aso hili ana lile madame.ngoja ufikishe 30yrs hayo masherti lazima yamelt katika mazingira ya kutatanisha shooMasharti gani? Ya kutonuka mdomo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ki vyovyote vile...Ila sitaki mnuka mdomoAso hili ana lile madame.ngoja ufikishe 30yrs hayo masherti lazima yamelt katika mazingira ya kutatanisha shoo
Amen kwakwelisuzie _barbie 😍🙌
Mungu akutangulie kwakweli
Tunakuvutia upepo😁😁😁ngoja apatikane handsamu,mrefu,ako na fweza mobu,anajua kuhonga na mengineyo lakini ni mnuka mdomo...hapo sasa ndo utajua nini nililokuwa nalimaanisha niliposema aso hili ana lileKi vyovyote vile...Ila sitaki mnuka mdomo
Njoo kwangu hutojuta kabisa karibu pm tu yajenge.Habari wapendwa,
Natafta mwanaume wa kufarijiana. Natamani sana kupata mwanaume anayejua kuhonga na mimi nitakua namhonga[emoji179][emoji179].
Tushauriane, tutaniane,tupendane .In short I want a happy relationship.
Sifa.
Asiwe chini ya 30 yrs.
Awe anajua kumjali mwanamke .
Asiwe ananuka mdomo(cuz napenda sana romance)
Sifa zangu.
Umri wangu ni 27 yrs.
Mwelewa,msafi,mchapakazi na mjasiriamali.
Kama huna hizo sifa, USIJE DM.
Msinitukane please, Nitalia.
Niache Chakorii....Mimi hata iweje sitaki mnuka mdomo ..Tunakuvutia upepo[emoji16][emoji16][emoji16]ngoja apatikane handsamu,mrefu,ako na fweza mobu,anajua kuhonga na mengineyo lakini ni mnuka mdomo...hapo sasa ndo utajua nini nililokuwa nalimaanisha niliposema aso hili ana lile
kilete nitesti mitambo nijihakikishieNdiyo
Chakorii unapotea sana best au hizi tozo niniTunakuvutia upepo😁😁😁ngoja apatikane handsamu,mrefu,ako na fweza mobu,anajua kuhonga na mengineyo lakini ni mnuka mdomo...hapo sasa ndo utajua nini nililokuwa nalimaanisha niliposema aso hili ana lile
🥰🥰🥰🥰Nashukuru Kwa kujali. Japo Sikuwa na Maana ya kulipiwa.. Just Kuwa muwazi Kuwa some money zitaenda Kufukia Mashimo...!! Deni linakaribia kuisha.. Kabla ya December!! God is Great!! Mpaka Sasa nishalipa 1.9m Although Watu walichukulia kama Mzaha.. You people hamjui Watu wanapitia Nini.. But Secondly She is To Young to be My Lover.... We will Never Stop The Race .....💪💪💪💪💪. Nilichojifunza ni Kuwa Watu Wengi ni waoga sana Kuamini na kuthubutu...But If You Try You will know Your Capabilities.... All the Best in this Journey of Life....
Utesti kama nani?kilete nitesti mitambo nijihakikishie
Mchane huyoKwani ukimpenda Mtu huwezi kumbebea msalaba wake??
kama danga mtarajiwaUtesti kama nani?
Sitafti danga mpenzi wangukama danga mtarajiwa
The bitterness though[emoji23][emoji23][emoji23]Mchane huyo