Nimechoka Upwekee, Nahitaji Mwenza

Nimechoka Upwekee, Nahitaji Mwenza

Status
Not open for further replies.
Basi umuumbe wa kwako dear maana unamasharti kumzidi hata kalumanzira..loh
Masharti gani? Ya kutonuka mdomo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wapendwa,

Natafta mwanaume wa kufarijiana. Natamani sana kupata mwanaume anayejua kuhonga na mimi nitakua namhonga[emoji179][emoji179].

Tushauriane, tutaniane,tupendane .In short I want a happy relationship.

Sifa.
Asiwe chini ya 30 yrs.
Awe anajua kumjali mwanamke .
Asiwe ananuka mdomo(cuz napenda sana romance)


Sifa zangu.
Umri wangu ni 27 yrs.
Mwelewa,msafi,mchapakazi na mjasiriamali.

Kama huna hizo sifa, USIJE DM.

Msinitukane please, Nitalia.
Njoo kwangu hutojuta kabisa karibu pm tu yajenge.
 
Tunakuvutia upepo[emoji16][emoji16][emoji16]ngoja apatikane handsamu,mrefu,ako na fweza mobu,anajua kuhonga na mengineyo lakini ni mnuka mdomo...hapo sasa ndo utajua nini nililokuwa nalimaanisha niliposema aso hili ana lile
Niache Chakorii....Mimi hata iweje sitaki mnuka mdomo ..
 
Tunakuvutia upepo😁😁😁ngoja apatikane handsamu,mrefu,ako na fweza mobu,anajua kuhonga na mengineyo lakini ni mnuka mdomo...hapo sasa ndo utajua nini nililokuwa nalimaanisha niliposema aso hili ana lile
Chakorii unapotea sana best au hizi tozo nini
 
Nashukuru Kwa kujali. Japo Sikuwa na Maana ya kulipiwa.. Just Kuwa muwazi Kuwa some money zitaenda Kufukia Mashimo...!! Deni linakaribia kuisha.. Kabla ya December!! God is Great!! Mpaka Sasa nishalipa 1.9m Although Watu walichukulia kama Mzaha.. You people hamjui Watu wanapitia Nini.. But Secondly She is To Young to be My Lover.... We will Never Stop The Race .....💪💪💪💪💪. Nilichojifunza ni Kuwa Watu Wengi ni waoga sana Kuamini na kuthubutu...But If You Try You will know Your Capabilities.... All the Best in this Journey of Life....
🥰🥰🥰🥰
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom