Nimechoka Upwekee, Nahitaji Mwenza

Nimechoka Upwekee, Nahitaji Mwenza

Status
Not open for further replies.
30+ atakua anapewa yeye mashariti ya muda wa kupiga simu,hata kama Mtoto wake anaumwa usiku wa manane apambane nae mwenyewe!!
We mwache.na mtu ukishafika 30 aiseh sijui miaka inafunguliwa kutoka mbinguni...maana inamiminika mno
 
Kila la kheri mama, Mungu akutangulie utimize haja ya moyo wako. Never lower your standards no matter what. Wanaokukatisha tamaa usiwaruhusu, kukata kwao tamaa hakumaanishi dunia nzima wakate tamaa.
 
Kila la kheri mama, Mungu akutangulie utimize haja ya moyo wako. Never lower your standards no matter what. Wanaokukatisha tamaa usiwaruhusu, kukata kwao tamaa hakumaanishi dunia nzima wakate tamaa.
[emoji179][emoji179][emoji179][emoji179]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom