Nimechoka watoto wangu kusomeshwa 'eat more, the slogan say' kila siku!

Nimechoka watoto wangu kusomeshwa 'eat more, the slogan say' kila siku!

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
Mimi nimesomeshwa hilo, yaani kila teacher wa lugha niliyokutana nao ktk kipengele cha poems basi hapo ndo Kimbilio. Mengine ni:

A freedom song

Development n.k

Miaka zaidi ya 15 baadae, watoto wangu nao habari ndo hiyo hiyo; eat more, the slogan say!

Hv watunzi wameishaaa au? Wataalamu wa elimu nisaidieni!
 
Hayo ni mashairi tu mkuu...kwani ubaya gani na wao wakifundishwa.
 
Sasa na wewe si uwe mtunzi watoto wako wasome vitabu vyako
 
Mfumo wetu wa elimu huo
Kitabu kasoma baba mpaka mjukuu mifano ileile 😄😄😄😄
Wenzetu wa cambrige uko kila baada ya miaka 2 au 3 mambo yanabadilika kwenye syllabus
 
Mfumo wetu wa elimu huo
Kitabu kasoma baba mpaka mjukuu mifano ileile 😄😄😄😄
Wenzetu wa cambrige uko kila baada ya miaka 2 au 3 mambo yanabadilika kwenye syllabus
Hivi sisi haya mambo ya crypto currency sijui block chain yataingizwa lini kwny syllabus huko mavyuoni?labda baada ya miaka 20.
 
Back
Top Bottom