Aisee!!Bongo hakuna elimu ya kutengeneza creativity and innovation..ni elimu ya kukaririshana..mbaya zaidi ccm hawataki muelimike vizur..ndio mana miaka 60 ya uhuru hawajawahi kuhangaika na mfumo wa elimu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi sisi haya mambo ya crypto currency sijui block chain yataingizwa lini kwny syllabus huko mavyuoni?labda baada ya miaka 20.Mfumo wetu wa elimu huo
Kitabu kasoma baba mpaka mjukuu mifano ileile ππππ
Wenzetu wa cambrige uko kila baada ya miaka 2 au 3 mambo yanabadilika kwenye syllabus
Ivi inakua ni process ndefu sana au walimu wa kubadilika na syllabus hamnaHivi sisi haya mambo ya crypto currency sijui block chain yataingizwa lini kwny syllabus huko mavyuoni?labda baada ya miaka 20.