BPM
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,760
- 576
Dah! Pole saana... Personally sishangai ulioa chapombe sababu mapenzi hua hayaoni hayo siku za mwanzo... Haya mambo huanza onekana pale ambapo yanaanza affect mahusiano.... Kweli mwanamke kua mlevi kuliko Mwanaume ni mtihani na hio imenionesha kua kweli wampenda na ni mume mvumilivu... mpole... na huna sauti juu yake...
Mvumilivu na Mpole inajieleza....
Kwamba wewe ni mume... uko ndani mkeo kenda kulewa... mpaka yupo chakari na kaletwa na rafikeye... inakua kama utani vile... Ila kaka wanawake saa ingine tunahitaji mwanaume awe mkali kidogo... (IMO) or else...
Huna sauti kwake
nime i-draw from the fact kua analewa kupindukia na bado ana guts za kusema hawezi acha kashindwa... yaani hata ile ya kujidai atajaribu haipo kabisa. Hivo kweli kabisa hakuna hapo suluhisho litakalotokea bila Uamuzi wa mwisho toka kwa mkeo... otherwise mpe Ultimatum...
Pole saana kaka...
japo jingine nadhani hakuna maelewano mazuri ndani au huwa hawana muda wa kukaa na kuongea au kusikilizana