Nimechoka!

Nimechoka!

Dah! Pole saana... Personally sishangai ulioa chapombe sababu mapenzi hua hayaoni hayo siku za mwanzo... Haya mambo huanza onekana pale ambapo yanaanza affect mahusiano.... Kweli mwanamke kua mlevi kuliko Mwanaume ni mtihani na hio imenionesha kua kweli wampenda na ni mume mvumilivu... mpole... na huna sauti juu yake...

Mvumilivu na Mpole inajieleza....
Kwamba wewe ni mume... uko ndani mkeo kenda kulewa... mpaka yupo chakari na kaletwa na rafikeye... inakua kama utani vile... Ila kaka wanawake saa ingine tunahitaji mwanaume awe mkali kidogo... (IMO) or else...

Huna sauti kwake
nime i-draw from the fact kua analewa kupindukia na bado ana guts za kusema hawezi acha kashindwa... yaani hata ile ya kujidai atajaribu haipo kabisa. Hivo kweli kabisa hakuna hapo suluhisho litakalotokea bila Uamuzi wa mwisho toka kwa mkeo... otherwise mpe Ultimatum...

Pole saana kaka...

japo jingine nadhani hakuna maelewano mazuri ndani au huwa hawana muda wa kukaa na kuongea au kusikilizana
 
Dah! Pole saana... Personally sishangai ulioa chapombe sababu mapenzi hua hayaoni hayo siku za mwanzo... Haya mambo huanza onekana pale ambapo yanaanza affect mahusiano.... Kweli mwanamke kua mlevi kuliko Mwanaume ni mtihani na hio imenionesha kua kweli wampenda na ni mume mvumilivu... mpole... na huna sauti juu yake...

Mvumilivu na Mpole inajieleza....
Kwamba wewe ni mume... uko ndani mkeo kenda kulewa... mpaka yupo chakari na kaletwa na rafikeye... inakua kama utani vile... Ila kaka wanawake saa ingine tunahitaji mwanaume awe mkali kidogo... (IMO) or else...

Huna sauti kwake
nime i-draw from the fact kua analewa kupindukia na bado ana guts za kusema hawezi acha kashindwa... yaani hata ile ya kujidai atajaribu haipo kabisa. Hivo kweli kabisa hakuna hapo suluhisho litakalotokea bila Uamuzi wa mwisho toka kwa mkeo... otherwise mpe Ultimatum...

Pole saana kaka...

Asante mkuu,2 be honest nampenda sana na nimevumilia na bado navumilia lakini naelekea kushndwa,kwa hakika NDOA ni ngumu.
 
pole kaka ile unaoneka wewe ni mpole sana kwake yaani hauna saut
kama vp tafuta dawa za kumfanya haache pombe pia anza kuwa mkali na kama anashinda na watu au rafiki wabaya mfanye hakae mbali nao
 
Pole sana ila hayo mazingira umeyakaribisha mwenyewe, inakuwaje unamruhusu mkeo kwenda kulewa huko bila uwepo wako? na kwann uruhusu alewe kwa kiwango hicho?una uhakika gani huko anakuwa na marafiki zake tu?ww ndio kichwa cha familia na ndio mwenye maamuzi ya mwisho na kama utamtaka kweli aache ulevi ataacha anza na kubadili huo utaratibu wa kwenda kulewa peke yake na weka misimamo ya kueleweka sio ubabe km ni mkeo kweli na anakupenda na kukuheshimu basi atasikia na kubadilika!
 
hebu google 'how to help an alcoholic'. kuna kitu inaitwa tough love. weka kanuni chini mkubaliane,hata kama ni mlevi,akinywea nyumbani hazinogi? na wakati anapombeka ww unakua wapi kwa mfano? pole sana, napata picha jinsi gani ilivyo frustrating.

Mkuu,yeye anafanya kazi kama mimi ninavyofanya kazi...lakini mara nyingi mimi ndo nawahi kurudi maana anadai ofcn kwao kazi nyingi...anapochelewa ndo wakati mwingine anarudi kalewa..nampenda sana mke wangu.
 
je umeshajaribu kukaa nae karibu na kuongea nae ?? huwa unapata muda wa kutoka nae??
 
Pole sana kwa jarbu hilo, yawezekana mkeo ana stress. si lazima utibu dalili za ugonjwa, tibu chanzo cha ugonjwa...tafuta tatizo ni nini hasa linalofanya mwanamke amwache mmewe ndani aende kunywa hadi asijielewe...belioeve me wewe unaweza kuwa ndo chanzo cha tatizo hata akafikia hatua hiyo maana sioni explanation nyingine. Wanawake wengi wanaumizwa sana na waume zao kiasi kwamba when enough is enough, mtu anakuwa hajali tena...remember R. Kelly's song..when a woman is fed up...so kaka jitafute umekosea wapi..ongea na mkeo myarekebishe.
Pia..sijapenda hiyo tabia ya wewe kumkagua mkeo...huu ni udahalilishaji wa hali ya juu. ni another form of of domestic violence nakushauri uache. utajitia pressure bure..kumbuka mkeo alikuwa anakunywa..labda pombe imestimulate hormons zilizoleta unyevu huko ikulu..ni kitu cha kawaida kwa mwanamke kama akipata hamu ya kufanya mapenzi not necesarily kwamba kafanya...usijitie kuumia roho for nothing.
 
Lakini zungumza ukweli we hunywi? Nan kamfundisha? Ilo suala la magogoni "ikulu" ningekuwa mimi cjui ningemmeza?
 
Lakini zungumza ukweli we hunywi? Nan kamfundisha? Ilo suala la magogoni "ikulu" ningekuwa mimi cjui ningemmeza?

mkuu mimi cnywi kabisa na cjawah kunywa...ninachokiogopa ni watoto kukosa muda wa kuwa na mama yao maana hana muda huo.
 
je umeshajaribu kukaa nae karibu na kuongea nae ?? huwa unapata muda wa kutoka nae??

mkuu nimeongea nae sana na mara nyingi lakini habadiriki lakin cha ajabu 2kitoka wote anajifanya ha2mii kilevi..AM TOTALLY CONFUSED.
 
ndoa izi pole kaka fanya maombi
loh na huko kuloa ikulu tena balaa
 
mkuu mimi cnywi kabisa na cjawah kunywa...ninachokiogopa ni watoto kukosa muda wa kuwa na mama yao maana hana muda huo.

kaka sina cha kukushauri kuhusu ndoa yako lakini one spouse akiwa alcoholic inakuwa keroro kwa mwenzake yani mwambie aache pombe unless otherwise kuna siku utamwokota mitaroni au hatarejea home kabisaa kwani huyo ni mlevi ikiwa inafikia anashndwa kuendesha hata usafiri wake bt i have an intuition that you are hiding something kwan yawezekana ndoa yako kuna chaos zisizoisha
 
mkuu chaos ni hyo pombe na pili ni muda wa yeye kukaa na watoto...
 
Back
Top Bottom