The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Zabibu haimenywi...Wapendwa, nina mpenzi ambaye simwelewi tabia yake,yeye anataka kila siku mimi nimpe hela pindi anapokuwa na shida, eti kisa mimi nafanya kazi yeye bado anasoma.Na kama ikitokea kakuomba hela afu huna inakuwa ugomvi kwamba simjali najithamini mimi tu.Nimeshajaribu kumweleza kuwa mimi huwa namsaidia kwa kumuonea huruma tu na wala sio jukumu langu na haipaswi yeye kunigeuza mimi ndio mlezi wake ila hailewi.
Asa sijui hata nimwelewesheje? kwasababu jambo hili huzua ugomvi mara kwa mara. Msaada tafadhari
Hongera zako uliyejaaliwa mapnz hayo,
Achana na ujinga ww unahongaje mwanaume?kwan ww mzazi wake?
Nakushauri acha mara moja huo mchezo,kwa taarifa yako anakupendea hako kamshiko vinginevyo angekuwa na shukran,
Na kwa kulipima penz lake hebu stopisha hiyo huduma japo kwa mwezi utazijua mbichi na mbivu kwenye hao mapenz yenu,
Namwomba mungu aniepushie kuwa na mapnz ya kuhonga wanaume AMEN.
Wapendwa, nina mpenzi ambaye simwelewi tabia yake,yeye anataka kila siku mimi nimpe hela pindi anapokuwa na shida, eti kisa mimi nafanya kazi yeye bado anasoma.Na kama ikitokea kakuomba hela afu huna inakuwa ugomvi kwamba simjali najithamini mimi tu.Nimeshajaribu kumweleza kuwa mimi huwa namsaidia kwa kumuonea huruma tu na wala sio jukumu langu na haipaswi yeye kunigeuza mimi ndio mlezi wake ila hailewi.
Asa sijui hata nimwelewesheje? kwasababu jambo hili huzua ugomvi mara kwa mara. Msaada tafadhari
ndio maana nilipoanza kuona anazoea na kamekuwa kamchezo nikaanza kumwelimisha lakini sasa ukimwambia tu ndio ugomvi unaibuka
Ok,cha kufanya hapo muite na umwambie ukweli vile unavyojisikia kuhusu tabia yake,Mamii sio kwamba mimi namuhonga (kwanza hela yenyewe ya kuhonga mtu niipate wapi mie?)tumekuwa na uhusiano kwa muda mrefu tu na tabia hii haikuwepo ila punde nilipopata kazi mapema mwaka huu ndio akaanza mambo ya kunielezea mtatizo na kuniomba hela na mwanzoni nilikuwa nampa kwa ile huruma tu kwamba mpenzi wangu analalamika hana hela basi tugawane hii niliyokuwa nayo kumbe ile sasa ndio ikageuka tabia.
ndio maana nilipoanza kuona anazoea na kamekuwa kamchezo nikaanza kumwelimisha lakini sasa ukimwambia tu ndio ugomvi unaibuka
Jamani Zabibu mimi nilijua unanisaidia kwa roho nyeupe kumbe nina kukwaza, jamani dadazangu si kila siku mnalalamika usawa huu ndio usawa wenyewe, lakini maneno hayo hauzungumzi ukiwa na mimi.
"ukitaka kula kubali uliwe"- JKWapendwa, nina mpenzi ambaye simwelewi tabia yake,yeye anataka kila siku mimi nimpe hela pindi anapokuwa na shida, eti kisa mimi nafanya kazi yeye bado anasoma.Na kama ikitokea kakuomba hela afu huna inakuwa ugomvi kwamba simjali najithamini mimi tu.Nimeshajaribu kumweleza kuwa mimi huwa namsaidia kwa kumuonea huruma tu na wala sio jukumu langu na haipaswi yeye kunigeuza mimi ndio mlezi wake ila hailewi.
Asa sijui hata nimwelewesheje? kwasababu jambo hili huzua ugomvi mara kwa mara. Msaada tafadhari
Zabibu,
Majibu yako hapa https://www.jamiiforums.com/mahusia...2-tofauti-ya-wanaume-na-wavulana-kitabia.html
nina smell opportunity...zabibu ni pm please faster,usiache kunidondoshea kanamba ka simu mweMamii sio kwamba mimi namuhonga (kwanza hela yenyewe ya kuhonga mtu niipate wapi mie?)tumekuwa na uhusiano kwa muda mrefu tu na tabia hii haikuwepo ila punde nilipopata kazi mapema mwaka huu ndio akaanza mambo ya kunielezea mtatizo na kuniomba hela na mwanzoni nilikuwa nampa kwa ile huruma tu kwamba mpenzi wangu analalamika hana hela basi tugawane hii niliyokuwa nayo kumbe ile sasa ndio ikageuka tabia.