Nimechoshwa na huyu mwanaume

Nimechoshwa na huyu mwanaume

Huyo kijana kamsemelezee kwa mama yake! Afinywe hadi aache tabia mbaya ya kuomba omba!
 
Mapenz ni kusaidiana jaman, kwel unapata shida na mpenz yupo kwny system!!
 
Huyo kijana kamsemelezee kwa mama yake! Afinywe hadi aache tabia mbaya ya kuomba omba!

Haa haaaa King'ast bana njoo na ile sema yako cjui .."u know xactly wat 2 do" c mpaka awe anamjua mama ake!!
 
naona ile kumuonea huruma ndo kumeniponza na kuniletea hii dhahama

Nimeipenda avatar yako (out of topic)

Mwanaume hatunzwi na mwanamke wewe

Mbona unajipa shida za kijinga..hakunakitabu wala dini inaruhusu huo uzuzu

Ukiendekeza utakuwa huna mwanaume utakuwa na mwanamke mwenziwe
 
Hongera zako uliyejaaliwa mapnz hayo,
Achana na ujinga ww unahongaje mwanaume?kwan ww mzazi wake?
Nakushauri acha mara moja huo mchezo,kwa taarifa yako anakupendea hako kamshiko vinginevyo angekuwa na shukran,
Na kwa kulipima penz lake hebu stopisha hiyo huduma japo kwa mwezi utazijua mbichi na mbivu kwenye hao mapenz yenu,
Namwomba mungu aniepushie kuwa na mapnz ya kuhonga wanaume AMEN.
...'acha ujinga,utahongaje mwanaume?'....what a question?hivyo mme kumpa mke ni halali,vice versa haram,haya bana kina mama nawatakia kila la kheri katika mapambano ya gender equality!
 
...'acha ujinga,utahongaje mwanaume?'....what a question?hivyo mme kumpa mke ni halali,vice versa haram,haya bana kina mama nawatakia kila la kheri katika mapambano ya gender equality!

Mbona unatimua mzee mwenzagu??? Hebu baki kidogo uwape moyo wenzio!!

Kama huyo kijana asingekuwa na gubu nisingeona tatizo lolote....yeyote mwenye pesa si vibaya kumsapoti mwenzake!!

Ni hayo tu,

Babu DC!!
 
Na wewa Zabibu kwa nini mnapenda vijana hapo kazini kwako hakuna wanaume/wanawake??kama ulimwonea huruma ukampa papa mwonee huruma umpe pesa na wewe siunamtumikisha nayeye anajiona yupo kibaruani kwani yaelekea wewe haumjali kama mpenzi wako kwakuwa unapesa basi unaletea madharau!!
 
Wapendwa, nina mpenzi ambaye simwelewi tabia yake,yeye anataka kila siku mimi nimpe hela pindi anapokuwa na shida, eti kisa mimi nafanya kazi yeye bado anasoma.Na kama ikitokea kakuomba hela afu huna inakuwa ugomvi kwamba simjali najithamini mimi tu.Nimeshajaribu kumweleza kuwa mimi huwa namsaidia kwa kumuonea huruma tu na wala sio jukumu langu na haipaswi yeye kunigeuza mimi ndio mlezi wake ila hailewi.
Asa sijui hata nimwelewesheje? kwasababu jambo hili huzua ugomvi mara kwa mara. Msaada tafadhari

Sio ndio mapenzi yenyewe hayo bi dada,au unataka iwe upande m1 tu yani ww ndio uwe unachukua kwake? Sioni sbbu ya ugomvi ila kidogo upatacho share na mwenzio.
 
Nimeipenda avatar yako (out of topic)

Mwanaume hatunzwi na mwanamke wewe

Mbona unajipa shida za kijinga..hakunakitabu wala dini inaruhusu huo uzuzu

Ukiendekeza utakuwa huna mwanaume utakuwa na mwanamke mwenziwe

kuhusu dini/kitabu ndugu yangu umekosea..
Kama unahitaji reference nicheki...
 
Mpige chini haraka kabla hajakuambukiza UKIMWI

unasema UKIMWI..?
Nini mahusiano na huyu Zabibu asiyempenda mpenz wake kwa fedha alizonazo..!!
Mind u,UKIMWI Unaweza kuwa wa mtu yoyote yule..
Ikiwa tu, upande mmoja wa shiringi utaachia..!!
Na ww mdada,kwanin kushindwa kumwelekeza mwenzako kwa lugha ya mapenzi akakuelewa..
Jitahidi mdada,inaweza kuwa ngumu na ukishindwa nifahamishe kwa ushauri zaidi..
 
Kila siku nikusaidia nikikwambia tu sina hela unaleta ugomvi unalalamika kama nini wakati kweli nakuwaga sina hela...sikupi hela tena, mwanzo mwisho

Zabibu kuwa makini na ushauri unaopata kutoka kwa watu mbalimbali lakini kumbuka tumetoka mbali sana, pili jaribu kuvaa uhusika wangu na wewe na mimi nivaa uhusika wako halafu niamue kama ambavyo unataka kuamua je ungejisikiaje? Kumbuka hakuna anaependa kuwa fukara ila ni mapenzi ya mwenyezi, mimi napenda kukushauri tafakari sana kabla ya kuchukua uamuzi wowote ule, kwani ni desturi ya binadamu kutoa majibu rahisi na ushauri wepesi kwa mambo yasiyowahusu, kuna mtu alitakwa ushauri na rafikie amfanye nini mke wake amemfumania yule bwana akamshauri kwamba amwache mara moja, mungu si athumuni tukio hilo hilo lilitokea kwake lakini yeye hakufanya kama alivyomshauri rafiki yake yaani hakumwacha, badala yake alienda kwa wakwe kulalalamika, siku zote thamani ya mapenzi wanaijua wahusika na si mwingine, hoja ya msingi je unanipenda kwa dhati? Je kosa kukuomba msaada kwako? Kukosa kwangu kipato ndio na uanaume wakngu unaishia hapo? Mimi siamini kama hili linasababisha hayo yote au kuna pedeshee umempata, hakuna aliyekamilika kumba na mimi kuna kasoro ambazo nimeziona kwako ila tukakaa na kuwekana sawa ila nashangaaa mwenzangu za kwangu umezianika hapa, kumbuka nyani haoni kundule. Kuhusu ugomvi muda mwingine jinsi unavyonijibu ndio inasababisha hivyo.
 
Acha uzuzu..

Fanya kazi, lisha mwanamke utaona raha ya kuwa mwanamume

Acha kumsumbua dada yetu na ujinga wako wa kulialia..

Unaudhi aisee.....pumba....f (naogopa ban) arrg
 
Na kama ikitokea kakuomba hela afu huna inakuwa ugomvi kwamba simjali najithamini mimi tu.
hapo kwenye black )))))))))
piga chini chapa mwendo shost
ww ndio watakiwa kuhudumiwa izo huduma na si ww kumtunza mwanamme jamani hata wazazi wako wakijua lazima wakupatie laana matata
 
Zabibu tunza ashakuwa zigo lako umpe nani saa hizi?
 
Acha uzuzu..

Fanya kazi, lisha mwanamke utaona raha ya kuwa mwanamume

Acha kumsumbua dada yetu na ujinga wako wa kulialia..

Unaudhi aisee.....pumba....f (naogopa ban) arrg

Asante sana, lakini kumbuka kazi kila mtu anaipenda tatizo ni kuipata, usinione mzembe kupata ni majaliwa, lakini je sahihi kubaguliwa kwenye mapenzi kwa sababu ya kipato, halafu kumbuka Zabibu hajaeleza uimara wangu lakini ameeleza udhaifu wangu, au kwa sababu dada yenu stutus imepanda kwa hyo anatafuta wa type yake na nyinyi kama shemeji zangu mnamsuport. Je wewe ikatokea ukafukuzwa kazi ni sahihi dada yangu akakupiga chini, maisha ni foleni ndefu sana.
 
Back
Top Bottom