Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kijana kamsemelezee kwa mama yake! Afinywe hadi aache tabia mbaya ya kuomba omba!
We kwanini umemzoesha?
naona ile kumuonea huruma ndo kumeniponza na kuniletea hii dhahama
...'acha ujinga,utahongaje mwanaume?'....what a question?hivyo mme kumpa mke ni halali,vice versa haram,haya bana kina mama nawatakia kila la kheri katika mapambano ya gender equality!Hongera zako uliyejaaliwa mapnz hayo,
Achana na ujinga ww unahongaje mwanaume?kwan ww mzazi wake?
Nakushauri acha mara moja huo mchezo,kwa taarifa yako anakupendea hako kamshiko vinginevyo angekuwa na shukran,
Na kwa kulipima penz lake hebu stopisha hiyo huduma japo kwa mwezi utazijua mbichi na mbivu kwenye hao mapenz yenu,
Namwomba mungu aniepushie kuwa na mapnz ya kuhonga wanaume AMEN.
...'acha ujinga,utahongaje mwanaume?'....what a question?hivyo mme kumpa mke ni halali,vice versa haram,haya bana kina mama nawatakia kila la kheri katika mapambano ya gender equality!
Wapendwa, nina mpenzi ambaye simwelewi tabia yake,yeye anataka kila siku mimi nimpe hela pindi anapokuwa na shida, eti kisa mimi nafanya kazi yeye bado anasoma.Na kama ikitokea kakuomba hela afu huna inakuwa ugomvi kwamba simjali najithamini mimi tu.Nimeshajaribu kumweleza kuwa mimi huwa namsaidia kwa kumuonea huruma tu na wala sio jukumu langu na haipaswi yeye kunigeuza mimi ndio mlezi wake ila hailewi.
Asa sijui hata nimwelewesheje? kwasababu jambo hili huzua ugomvi mara kwa mara. Msaada tafadhari
Nimeipenda avatar yako (out of topic)
Mwanaume hatunzwi na mwanamke wewe
Mbona unajipa shida za kijinga..hakunakitabu wala dini inaruhusu huo uzuzu
Ukiendekeza utakuwa huna mwanaume utakuwa na mwanamke mwenziwe
naona ile kumuonea huruma ndo kumeniponza na kuniletea hii dhahama
Mpige chini haraka kabla hajakuambukiza UKIMWI
Kila siku nikusaidia nikikwambia tu sina hela unaleta ugomvi unalalamika kama nini wakati kweli nakuwaga sina hela...sikupi hela tena, mwanzo mwisho
Zabibu kuwa makini na ushauri unaopata kutoka kwa watu mbalimbali lakini kumbuka tumetoka mbali sana, pili jaribu kuvaa uhusika wangu na wewe na mimi nivaa uhusika wako halafu niamue kama ambavyo unataka kuamua je ungejisikiaje? Kumbuka hakuna anaependa kuwa fukara ila ni mapenzi ya mwenyezi, mimi napenda kukushauri tafakari sana kabla ya kuchukua uamuzi wowote ule, kwani ni desturi ya binadamu kutoa majibu rahisi na ushauri wepesi kwa mambo yasiyowahusu, kuna mtu alitakwa ushauri na rafikie amfanye nini mke wake amemfumania yule bwana akamshauri kwamba amwache mara moja, mungu si athumuni tukio hilo hilo lilitokea kwake lakini yeye hakufanya kama alivyomshauri rafiki yake yaani hakumwacha, badala yake alienda kwa wakwe kulalalamika, siku zote thamani ya mapenzi wanaijua wahusika na si mwingine, hoja ya msingi je unanipenda kwa dhati? Je kosa kukuomba msaada kwako? Kukosa kwangu kipato ndio na uanaume wakngu unaishia hapo? Mimi siamini kama hili linasababisha hayo yote au kuna pedeshee umempata, hakuna aliyekamilika kumba na mimi kuna kasoro ambazo nimeziona kwako ila tukakaa na kuwekana sawa ila nashangaaa mwenzangu za kwangu umezianika hapa, kumbuka nyani haoni kundule. Kuhusu ugomvi muda mwingine jinsi unavyonijibu ndio inasababisha hivyo.
Acha uzuzu..
Fanya kazi, lisha mwanamke utaona raha ya kuwa mwanamume
Acha kumsumbua dada yetu na ujinga wako wa kulialia..
Unaudhi aisee.....pumba....f (naogopa ban) arrg