Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Bisahanga,hawa bado ni wapenzi tu na wanaweza kumwagana wakati wowote,...'acha ujinga,utahongaje mwanaume?'....what a question?hivyo mme kumpa mke ni halali,vice versa haram,haya bana kina mama nawatakia kila la kheri katika mapambano ya gender equality!
Na wewa Zabibu kwa nini mnapenda vijana hapo kazini kwako hakuna wanaume/wanawake??kama ulimwonea huruma ukampa papa mwonee huruma umpe pesa na wewe siunamtumikisha nayeye anajiona yupo kibaruani kwani yaelekea wewe haumjali kama mpenzi wako kwakuwa unapesa basi unaletea madharau!!
Asante sana, lakini kumbuka kazi kila mtu anaipenda tatizo ni kuipata, usinione mzembe kupata ni majaliwa, lakini je sahihi kubaguliwa kwenye mapenzi kwa sababu ya kipato, halafu kumbuka Zabibu hajaeleza uimara wangu lakini ameeleza udhaifu wangu, au kwa sababu dada yenu stutus imepanda kwa hyo anatafuta wa type yake na nyinyi kama shemeji zangu mnamsuport. Je wewe ikatokea ukafukuzwa kazi ni sahihi dada yangu akakupiga chini, maisha ni foleni ndefu sana.

Sasa hii ndio sababu ya kulia lia na kuleta maugomvi pale mwenzako anapokwambia hana pesa? Au ukijibiwa vibaya ndo unaleta ugomvi?
Mbona kuna wanaume wanahonga wanawake wala hawalalami?!! ndio maana naona lile suala la haki sawa kwa wote sio kweli ni ulongo tu!!! mwanamke akimhonga mwanaume ni kilio ila kwa mwanaume ni sawa duh!!!
Wapendwa, nina mpenzi ambaye simwelewi tabia yake,yeye anataka kila siku mimi nimpe hela pindi anapokuwa na shida, eti kisa mimi nafanya kazi yeye bado anasoma.Na kama ikitokea kakuomba hela afu huna inakuwa ugomvi kwamba simjali najithamini mimi tu.Nimeshajaribu kumweleza kuwa mimi huwa namsaidia kwa kumuonea huruma tu na wala sio jukumu langu na haipaswi yeye kunigeuza mimi ndio mlezi wake ila hailewi.
Asa sijui hata nimwelewesheje? kwasababu jambo hili huzua ugomvi mara kwa mara. Msaada tafadhari
We ni she/he?
pole sana dada lakin its about compassion in love, wat i wanna say is try to crack em sincerery to c if he is ril serious wth ya coz wat is seen dea ni kwamba kipimo chake kwako kuwa unampenda ni wewe kumpa hela wch is quit wrong, so u have to go further nd sit down wth em and explore his commitment in loving ya coz am woried kwamba yuo might be wasting ur money nd tyme
ndio maana nilipoanza kuona anazoea na kamekuwa kamchezo nikaanza kumwelimisha lakini sasa ukimwambia tu ndio ugomvi unaibuka
Kha! Hii lugha iliyoandikwa hapa cjawah kutana nayo,em mmh!