Nimechoshwa na huyu mwanaume

Piga chini hako kajmaa kanaleta ugomvi kwani pesa zake?? Alah? Vitoto vya siku hizi bana kupenda kulelewa tu
 
Hembu tuambie mnaishi katika mazingira yapi? Mnaishi naye au anaishi sehemu tofauti? Na huo ugomvi ni wa aina gani maneno tu au nakipigo anakupatia? kama hamuishi pamoja basi hakuna sababu ya wewe kuogopa huo ugomvi
Hatuishi pamoja na wala ugomvi sio wa kipigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…