Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

Pole sana dada ila una uhakika uyo ni kaka ake kweli?. Na kama ni kaka ake basi uyo mumeo ndo wale wanaume wa jf waliokula tunda kimasihara kwa ndugu zao ila huyo wako kashindwa kuachana na uyo dada ake

By the way uyo mumeo kabila gani maan kuna makabila kutembea wao kwa wao sio shida zao.
 
.....inaendeleeeeea
 
Yeye ni mchaga lakini dada yake ni mrangi maana baba zao ni tofauti
 
Sijaona shida yoyote kubwa.
Hao ni ndugu na hujui waliishi Maisha Gani kabla wewe hujawa Mke.
kwa ukaribu huo waliokuwa nao wangekuwa wanatafunana Wala usingekuwa na mashaka,ungeona live kabisa!
Mwanamke mwenye na mtoto anakuja nyumbani kwako, unawalea kisa dasa yako, baba yake mzazi yuko wapi? Na baba wa mtoto yuko wapi?

Kumlea dada yake naweza kufikiria, ila sasa kumlea na mtoto wake ...hilo jamaa kubwa jinga
 
Mwanamke mwenye na mtoto anakuja nyumbani kwako, unawalea kisa dasa yako, baba yake mzazi yuko wapi? Na baba wa mtoto yuko wapi?

Kumlea dada yake naweza kufikiria, ila sasa kumlea na mtoto wake ...hilo jamaa kubwa jinga
Baba wa mtoto wake hatoi huduma yoyote amekuwa kama kawatelekeza, na baba wa huyu wifi yangu pia alishamtelekezaga tangu anazaliwa ndomaana mama yake alienda kuolewa na mtu mwingine ambaye ni baba mzazi wa mume wangu
 
Kuna mawifi wasengeh na zaidi Kuna wanaume wasengeh mara mbili zaidi...unashindwa kuishi na mke kama mume wake , unakua na tabia za kishenzi shenzi, hivi wifi unaenda kukalisha mkunduh wako kwa kaka yako na kufanya ushenzi shenzi kwanini usiende kujitegemea ama kutafuta bwana ukaishi nae umfanyie hivyo vibweka...haya ndio madhara ya kuishi ishi na mandugu mawifi upuuzi mtupu ..
 
Sa
na inaumiza sana na inakatisha tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…