Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

Hakuna ndoa hapo
 
Watu kama hao ni kuwapuuza tu.

Unakosea sana kumshitakia kwa kaka yake, we muache ajipitishe hivyo hivyo, we kua bize na mumeo.

Shida za namna hiyo hutokea sana familia ambazo mleta chochote ni baba pekee, kama na wewe ungekua unatoka kusaka mkate huo upuuzi wala usingekua unauona na asingekua anaufanya.
 
Linda amani yako ya ndani. Usiruhusu vituko vya mtu mwingine vikufanye upoteze furaha yako.

Mwombe Mumeo kumrudisha Dada yake nyumbani kwao, kama ni huduma amtumie mahitaji kadri atakavyoweza akiwa huko huko kwao

Kuliko huyo Dada yake kuendelea kukaa nanyi ambapo anawaondolea utulivu

Kwa matendo hayo, inaonesha huko nyuma wamewahi kuwa na mahusiano yasiyofaa

Abiria chunga mzigo...
 
Aisee so true thank you so much for this umenifungua kitu
 
Ndoa ni ya watu wawili, zungumza na mme wako kuhusu athari za mtu wa watatu kwenye ndoa.

Pia dada anamzidi kaka yake miaka zaidi ya minne na mtoto wa miaka 9 na bado hajaweza kujitegemea ana shida kwenye ubongo. Tafuteni chumba apange.
 
Jamani Ahsanteni sana kwa maoni na ushauri wenu, nitafanyia kazi baadhi ya vitu mlivyoniambia nashukuruni sana Mungu awabariki
 
Ni dada yake Hadi picha zao wakiwa watoto wadogo kabisa zipo
Mimi ndio nimeacha Ujinga kabisa wakulea wapuuzi kama hao, Mimi hata Home kuna wakati fulani ndugu wa mzee walikuwa wanarundikana Bila sababu ya Msingi na Wana mdisturb Bi Mkubwa ilikuwa nawapigia simu niwaambie niwatumie nauli au nisiwakute hapo home, Mana watu wazima kufanya vitu vya ovyo siwezi kuvumilia kabisa

Wanao Behave nilikuwa naacha wakae ila kwa standards anazotaka Bi Mkubwa mwenye mji mana walikuwa wanawaonea aibu ila mimi nilikuwa nanyoosha kama Ruler hakuna Kufuga Ujinga kabisa

At the end ndugu zako ni Baba, Mama, Babu, Bibi na wanao hao ndio wata behave kwa interest zako
 
Aisee so true thank you so much for this umenifungua kitu
Hiki kingereza chako sio muda nitakubadilikia kuwa wewe ni muongo .

Kama umeamua kuandika kiswahili basi itoshe sio kuleta viinglishi vya temeke mikoroshini .

Note:mimi ndiye moderator wa usiku nakujuza hili maana wewe ni mgeni na sisi maboss hautujui kwa undani
 
Pole sana dada lakini ukute hapo hakuna ndoa ,kingine nachowazia wametengeneza kitimbwi uondoke wabakie wao , kama hujazaa hakuna ulichokipoteza ,kama vipi jiondokee uwaache waishi watakavyo wao.

Kwanza ukute jamaa anamla huyo ambaye uliambiwa ni dada yake.
 
Kuna zile mini camera, 30000 tuu. Kadogo kama punje mbili za mahindi itamaliza utata. Njoo pm kama huna elf 30.
 
Mume anakula half sista wake ...aise kuna wanaume wana bahati nyie.
Yaani unakula mke uki.aliza unae da kula mbusuus ya half sister 🤣🤣🤣🤣
Kweli bora uzaliwe mwenye bahati kuliko mwenye kipaji
 
Hakuna uongo ni kweli Hadi nimekuja hapa imenitesa na kuniumiza Zaid ya mwaka hii Hali na Sina wa kumwambia
Wewe umeshajua ukweli. Kama una kifua mwambie mumeo huyo mumeo huyo WiFi wa mchongo aondoke. Basi yeye atajua afanyeje kama ataamua kukuondoa wewe au huyo mrangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…