Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

Baba wa mtoto wake hatoi huduma yoyote amekuwa kama kawatelekeza, na baba wa huyu wifi yangu pia alishamtelekezaga tangu anazaliwa ndomaana mama yake alienda kuolewa na mtu mwingine ambaye ni baba mzazi wa mume wangu
Ungemwambia mumeo akampangie chumba hata cha elfu 30, kuliko kukaa na wewe pamoja
 
Huwa naona ajabu sana ndugu watu wazima wakiishi pamoja. Mtafutieni ajira hata kama kibarua na mumpangishie nyumba akaishi na mwanae. Mlipieni kodi hata ya miezi 6.

Halafu na wewe tafuta kazi. Hizi mambo mnashinda mkipigiana story za utotoni mtachoka sana.
 
Sa

na inaumiza sana na inakatisha tamaa
Pole sana sweetie..ila usipokua makini ama usipochukua hatua mapema, naiona ndoa yako ikivunjika , naiona mimba ya kaka mtu na dada mtu..
Anza kuomba kikao ama ushauri na wasimamiz wa ndoa yenu, ikishindikana hapo ongea na wazazi pande zote mbili, ikishindikana hapo ( kwamba Bado tabia za kukaa UCHI zinaendelea) basi nenda kwa wachungaji wa dhehebu mnalosali..ikitoka kapa hapo , omba talaka muachane kwa amani , ili umpe nafasi amtombeh vizuri huyo dada yake. Tofauti na hapo your marriage is at risk
 
Kuna siku niliondoka kusalimia kwetu siku kama nne nilivorudi nilikuta wifi kafua nguo zote za mume wangu Hadi boxer zake kazianika kwenye kamba nilivomuuliza mwanaume akasema nilitaka afue nani kati dada yake yupo
Sikia,
Inaonesha walishawahi kufanya matukio fulani. Ila huyo mume wako Wala hamkubali huyo mtu ni jinsi tamaa tu ya macho na kumbukumbu zisizo fitika vichwani mwao. Angekuwa anamtaka angeishi naye huyo na siyo wewe.
Pia, wazazi wa huyo mwnaume yaani upande wa baba hawawezi kuridhia huo ujinga.
Kingine tangu huyo mdada aje hapo mumeo bado hajamla. Akimla utajua baada ya wiki maana anachokitafuta huyo dada mtu ni pregnancy ili apate uhalali wa kukaa hapo. Fanya hivi. Mwambie mumeo wako akae kwa machale. Tafuta mtu wa kumtongoza dada mtu labda upweke unamsumbua na anayemuona ni mumeo.
 
Ulitakiwa uje JF kueleza jinsi ulivyomfurusha huyo anayejiita dada wa mumeo kama kweli huwa unakunywa chai aina ya "siriazi"!
 
Aisee so true thank you so much for this umenifungua kitu
Kama hukua ukijua ni kua, hao mawifi zenu au hata mama wakwe zenu wana wivu mno na mtoto wao wa kiume hasa akiwa na mafanikio na akiwa anaishi kwa amani na mkewe.

Sababu kubwa hua ni wao hawakuishia ama lah hawaishi hivyo na waume zao, wakiwa single maza ndio kabisa hali huwa mbaya zaidi kwa chuki kwa mke wa kaka yao.

Na ni kosa la kiufundi kuishi nae hapo, ila kwakua bosi wenu ndio kabless haina jinsi zaidi ya kupuuza wivu wake.
 
Nimekuelewa sana.pole kubwa utakua una wakati wakutatiza sana.simama kama mwanamke ata kama huna mtoto,mji ni wako wewe ndo unaweza kujenga au kuibomoa nyumba yako,mwambie mwanaume unayoyaona ijapokua atabisha kama mwanaume,fukuza wifi yako kwako.we fukuza tu mji ni wako we mdada na mume ni wako
 
No reform no election
 
Mnawezaje jamani mie maisha ya Ujamaaa yamenishinda.
Kila mtu akae nyumbani kwake tutembeleane kwa dharura tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…