Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

Lete namba tumtongoze tumuondoe hapo, anakula anashiba ananawiri anahitaji huduma kupoza mwili. Huo ndio msaada wetu kwako
 
Pole sana mkuu kwa unayoyapitia, siku zote ndugu wa mume ni wapitaji tu hivyo wewe mpuuzie kila anachofanya jifanye kama hauoni yanayoendelea, ukipaniki ndiyo unaendelea kumpa nguvu lakini ukiwa una mpuuza yeye mwenyewe atajiona mjinga na ataacha huo ufedhuli wake.
 
Nikuambie kitu dada yangu?
Tafuta kazi walau uwe unaingiza pesa yako kidogo, hapo huyo mwanamke anaona wewe na yeye hamna tofauti ndio maana anakudharau.

Mungu akupe sehem ya kufanya,dharau zitaisha.

Utanishukuru
 

Una uhakika ni Dada yake? Una kazi ngumu sana, Jipange kama vile ndoa itavunjika, na Anza exiting strategies, huwezi kuishi hayo maisha ( Kama unayosema ni kweli )
 
Kunawatu wanapitia mengi kama wewe ila wamefanikiwa kwa kupitia maombi, kubwa mtu wa maombi kwema kabisa kwenye maombi mambo yataka shwari maana MUNGU mwanzilishi wa ndoa atakupigania
 
Huyo mtoto inawezekana wa mumeo ila huyu mwamba kazidi,
 
Dada aolewe au apewe mtaji ajitegemee!!asikae Kwa kaka?!
Kayak inalea wazee tu na watoto,wakubwa wakajitegemee!!
 
Acha kufuatilia mambo madogo madogo yatakayo kufanya ushinde Kwa huzuni na ukose furaha , mwache afanye vituko vyote atakavyo mwisho wa siku atashindwa kuliko wewe kuanzisha ugonvi na moyo wako mwenyewe kabla ya ugonvi wa nje . Sasa piga kimya msifie anavyo vaa kwamba anapendeza ikibidi na kanga mwambie aitoe anze kubaki na chupi TU pale sebuleni , alafu baadye utanipa matokeo njoo DM uchukue namba yangu .😂
 
Baba wa mtoto wake hatoi huduma yoyote amekuwa kama kawatelekeza, na baba wa huyu wifi yangu pia alishamtelekezaga tangu anazaliwa ndomaana mama yake alienda kuolewa na mtu mwingine ambaye ni baba mzazi wa mume wangu
Mimi nakushauri waachie waoane wao kwa wao. Huyo mwanamke, sijui kama ni Dada take kweli, alitakiwa atafute kazi alee mtoto wake na atafute kwake.
Hamna jukumu LA kumlea MTU mzima na mtoto wake, tena ambaye hana nidhamu
Mume ameonyesha kutokujitambua kwa kuendekeza huo ujinga

Pia Wanandoa mnahitaji kupata nafasi ya kuwa huru kwenye nyumba, sio kubanwa banwa na watu waliofeli maisha wasio na shukrani.
Mwanaume hujazaa nae kwa nini uogope kuachana nae?
 
Una tatizo la wivu uliopitiliza, hao watu wangetaka kulombana wasingefanya mbele yako, punguza wivu.
Wewe kwa akili yako unaona ni sawa kuishi na mwanamke tena mwenye mtoto mkubwa na hana kazi tena kwenye nyumba ya kupanga? Na mwanamke mwenyewe mgomvi hata kama hawatombani kweli?
 
Mbona mume nae ndio tatizo kubwa zaidi pengine.. Maana ameeleza aliwahi kumuita pembeni na kumuuliza, mwanaume akamuita Hugo anayeitwa Dada na kummwambia mke wangu anakusema hivi na hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…