hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,890
- 2,795
Unaloweka mda gani?Roweka mdalasini kwenye maji na uyatumie kama maji yako kunywa, kutwa mara nne mpaka tano na ukiweza zaidi, hakuna neno.
Achana na sabuni unazotumia kuogea kwa sasa. Tafuta mbadala.
kwakweli fangasi ni janga mno na u..t.iHapo dawa ni ndogo tu,najua ukitumia dawa unapona ila ukikaa siku mbili,tatu inarudi cha kufanya nenda hispital wewe na mpenzi wote mpime u.t.i na muanze kutumia dozi pamoja mwanamke wakati mwingine anaweza kuchelewa kupata dalili za u.t.i ndo mana unamuona yuko poa tu. Kingine usafi vitu kama fangas kwa mimi naamini hazina dawa na kama ukiamua kutumia dawa kwa ajili ya fangas inabidi iwe sehem ya maisha yako kama kula chakula kila siku lazima utumie iyo dawa ila kuthibiti fangas ni kitu kidogo tu! Usafi wa nguo za ndani,usivae zikiwa mbichi, kata minywele ya chini ni uchafu,ukitoka kuoga jikaushe na taulo na ikibidi kaambele ya feni ukauke kabisa, jipake mafuta unayojipaka mwilini hapo fangas utasikia kwa jirani lakini kwa upande wa wanawake pia fangas inaweza kuwa imefika ndani kuna midonge flani mikubwa inabonyea bonyea kama mpira hivi sijui inavyoitwa nilienda famas na dm wangu wakatuelekeza kutumia iyo ni elfu 10 vinakuwa viwili basi pashkuna akishaoga anatumbukiza maeneo ikibidi anavaa ped coz huwa unatoka uchafu, baada ya hapo amani xana ila kama bado itakuwa unafanya ligi na kule umetoka, kwaiyo inabidi ukaangalie kama ni hasi au chanya ili ujue nini cha kufanya
Jitahidi kunywa maji salama mengi saana ikibidi hata lita 6 kwa siku 10 mfululizoJamani ebu nipeni ushauri kweli naweza kupona U.T.I na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza hela zangu kila siku hosptali!
Kweli mkuu wanazunguka tuuToeni Ushauri unaoeleweka kwani hili ni tatizo linawakwaza wengi na mimi nalifahamu vizuri. Wapo walishawahi kunilalamikia. Hili tatizo lipo
Yanapatikana wapi haya mkuu?Wakuu mlonge ni dawa tosha ya UTI, na fangasi, Kuna kipindi nilisumbuka saana kumbe ninaishi na dawa,ninapoishi Kuna mti wa mlonge yaan mm kazi yangu ni kachuma matawi na kuyachemsha, yalemaji naweka kwenye majagi yangu mitatu, na ndiyo nayatumia kama maji ya kunywa hayana ladha yeyote mbaya, amini utapona.yaan mm fangasi, malaria, UTI, na magonjwa mengine nayaskia kwa jirani tu.
Pole mkuu... kama una mpenzi hakikisha mnatibiwa wote....Ni mwanamume jamani
KhaaaaaaaTumia condom ndugu wanaume wengi wanaambukizwa UTI na wanawake wachafu inaonesha unanyota ya KUNGUNI ya kupata mademu wachafu hasahasa wa uswazi ndo wanaUTI sana.
Jaribu kutafuta pussy safi za ukweli grade A
Una mshauri Mgonjwa wa UTI anywe Lita 3 na nusu duhhhh? atakuwa na tumbo la aina gani hilo kuweza kunywa Maji kwa siku Lita 3 na na nusu? Kazi kweli ipo hapo.πππDawa ni maji only hivyo vingine ni kupoteza hela tu mm mwenyewe nilikua nayo tena sugu kila mara haupiti mwez naumwa nilipo kuja pata ushauri wa kunywa maji ndo sijaisikia tena mpaka leo
Kunywa lita 1.5 asubuh unapotoka kuamka then lita 1 mchana by saa 6 or 7 na jioni kwenye saa 12 au 11 malizia na lita 1 tena, hakikisha unakunywa unamaliza ndani ya dakika 3 uwe umemaliza kunywa itakusaidia tena kwa mambo mengi sana sio UTJ peke yake hata magonjwa mengine kama kusawazisha kiwango cha sukari coz sukari ambayo itakua haitakiwi mwilini itakua inatoka kwa njia ya mkojo utaratib huu wa kunywa maji inatakiwa uwe wa kila siku maisha yako yote mwanzon utapata shida but ukishazoea hupat shida.
MWENYE KUSIKIA NA ASIKIE.
Ni PM HAYO MAJIBU YAKO PLEASE, YAPIGE PICHA NDIO UNI PMJamani ebu nipeni ushauri kweli naweza kupona U.T.I na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza hela zangu kila siku hosptali!
Fanya Urine CultureJamani ebu nipeni ushauri kweli naweza kupona U.T.I na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza hela zangu kila siku hosptali!
Kwa msaada kwa wengine hiyo ya wadada ungeweka tu jinaDawa niijuayo ni kwa wadada tu. Maana ni ya kutumbukiza...ila pole mkuu
Hatari sana huu ugonjwa u.t.i mwaka 2014/2015 ndo umeanza kuvuma huu ni kama mradi wa mtu unajua kwa wenzetu hata kutengeneza ugonjwa ni gunduzi kama guduzi nyingine,huku tunakoelekea ndo kuna hatari zaidikwakweli fangasi ni janga mno na u..t.i
kama zamani ikivokua maralia..
sikuhizi hospital mnapishana wababa,watoto ,wazee kujaza mikojo..
huu ugonjwa kama umepandikizwa
hata mm nadhaniHatari sana huu ugonjwa u.t.i mwaka 2014/2015 ndo umeanza kuvuma huu ni kama mradi wa mtu unajua kwa wenzetu hata kutengeneza ugonjwa ni gunduzi kama guduzi nyingine,huku tunakoelekea ndo kuna hatari zaidi
Usafi muhimuhata mm nadhani
huu ugonjwa wametengeneza ,
na kuna mahala tunaupata bila kujijua..
haiwezekani mtu unafata masharti yote na bado unaumwa
Kunywa kila siku maji kuanzia lita 3 kwa siku.maji ni dawa....cha pili tumia condom ingawa uti unaweza pata bila kulala na mtuJamani ebu nipeni ushauri kweli naweza kupona U.T.I na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza hela zangu kila siku hosptali!