Nimechoshwa na U.T.I naombeni msaada

Nimechoshwa na U.T.I naombeni msaada

Roweka mdalasini kwenye maji na uyatumie kama maji yako kunywa, kutwa mara nne mpaka tano na ukiweza zaidi, hakuna neno.

Achana na sabuni unazotumia kuogea kwa sasa. Tafuta mbadala.
Unaloweka mda gani?
 
Hapo dawa ni ndogo tu,najua ukitumia dawa unapona ila ukikaa siku mbili,tatu inarudi cha kufanya nenda hispital wewe na mpenzi wote mpime u.t.i na muanze kutumia dozi pamoja mwanamke wakati mwingine anaweza kuchelewa kupata dalili za u.t.i ndo mana unamuona yuko poa tu. Kingine usafi vitu kama fangas kwa mimi naamini hazina dawa na kama ukiamua kutumia dawa kwa ajili ya fangas inabidi iwe sehem ya maisha yako kama kula chakula kila siku lazima utumie iyo dawa ila kuthibiti fangas ni kitu kidogo tu! Usafi wa nguo za ndani,usivae zikiwa mbichi, kata minywele ya chini ni uchafu,ukitoka kuoga jikaushe na taulo na ikibidi kaambele ya feni ukauke kabisa, jipake mafuta unayojipaka mwilini hapo fangas utasikia kwa jirani lakini kwa upande wa wanawake pia fangas inaweza kuwa imefika ndani kuna midonge flani mikubwa inabonyea bonyea kama mpira hivi sijui inavyoitwa nilienda famas na dm wangu wakatuelekeza kutumia iyo ni elfu 10 vinakuwa viwili basi pashkuna akishaoga anatumbukiza maeneo ikibidi anavaa ped coz huwa unatoka uchafu, baada ya hapo amani xana ila kama bado itakuwa unafanya ligi na kule umetoka, kwaiyo inabidi ukaangalie kama ni hasi au chanya ili ujue nini cha kufanya
kwakweli fangasi ni janga mno na u..t.i
kama zamani ikivokua maralia..
sikuhizi hospital mnapishana wababa,watoto ,wazee kujaza mikojo..
huu ugonjwa kama umepandikizwa
 
Jamani ebu nipeni ushauri kweli naweza kupona U.T.I na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza hela zangu kila siku hosptali!
Jitahidi kunywa maji salama mengi saana ikibidi hata lita 6 kwa siku 10 mfululizo
 
Dawa ni maji only hivyo vingine ni kupoteza hela tu mm mwenyewe nilikua nayo tena sugu kila mara haupiti mwez naumwa nilipo kuja pata ushauri wa kunywa maji ndo sijaisikia tena mpaka leo
Kunywa lita 1.5 asubuh unapotoka kuamka then lita 1 mchana by saa 6 or 7 na jioni kwenye saa 12 au 11 malizia na lita 1 tena, hakikisha unakunywa unamaliza ndani ya dakika 3 uwe umemaliza kunywa itakusaidia tena kwa mambo mengi sana sio UTJ peke yake hata magonjwa mengine kama kusawazisha kiwango cha sukari coz sukari ambayo itakua haitakiwi mwilini itakua inatoka kwa njia ya mkojo utaratib huu wa kunywa maji inatakiwa uwe wa kila siku maisha yako yote mwanzon utapata shida but ukishazoea hupat shida.
MWENYE KUSIKIA NA ASIKIE.
 
Wakuu mlonge ni dawa tosha ya UTI, na fangasi, Kuna kipindi nilisumbuka saana kumbe ninaishi na dawa,ninapoishi Kuna mti wa mlonge yaan mm kazi yangu ni kachuma matawi na kuyachemsha, yalemaji naweka kwenye majagi yangu mitatu, na ndiyo nayatumia kama maji ya kunywa hayana ladha yeyote mbaya, amini utapona.yaan mm fangasi, malaria, UTI, na magonjwa mengine nayaskia kwa jirani tu.
 
Yanapatikana wapi haya mkuu?
 
Sio kwamba hauponi, utakua unapona, ila mwenzi wako atakua anakuambukiza ila mnapo kutana kimwili, kama unataka kupona lazima mtibiwe wote wawili. Tafuta AUGUMENTIN TABS utumie kwa muda wa siku kumi na nne, wewe pamoja na patner wako, hiyo AUGUMENTIN iwe ya GSK (GERMANY)
 
Dawa niijuayo ni kwa wadada tu. Maana ni ya kutumbukiza...ila pole mkuu
 
Ni mwanamume jamani
Pole mkuu... kama una mpenzi hakikisha mnatibiwa wote....
Ni vile uko ME hii dawa nlotaka kukwambia haikufai.....
Tafuta cephalexin na pia uwe unakunywa maji mengi mnoooo
 
Tumia condom ndugu wanaume wengi wanaambukizwa UTI na wanawake wachafu inaonesha unanyota ya KUNGUNI ya kupata mademu wachafu hasahasa wa uswazi ndo wanaUTI sana.

Jaribu kutafuta pussy safi za ukweli grade A
Khaaaaaaa
 
Dawa ni maji only hivyo vingine ni kupoteza hela tu mm mwenyewe nilikua nayo tena sugu kila mara haupiti mwez naumwa nilipo kuja pata ushauri wa kunywa maji ndo sijaisikia tena mpaka leo
Kunywa lita 1.5 asubuh unapotoka kuamka then lita 1 mchana by saa 6 or 7 na jioni kwenye saa 12 au 11 malizia na lita 1 tena, hakikisha unakunywa unamaliza ndani ya dakika 3 uwe umemaliza kunywa itakusaidia tena kwa mambo mengi sana sio UTJ peke yake hata magonjwa mengine kama kusawazisha kiwango cha sukari coz sukari ambayo itakua haitakiwi mwilini itakua inatoka kwa njia ya mkojo utaratib huu wa kunywa maji inatakiwa uwe wa kila siku maisha yako yote mwanzon utapata shida but ukishazoea hupat shida.
MWENYE KUSIKIA NA ASIKIE.
Una mshauri Mgonjwa wa UTI anywe Lita 3 na nusu duhhhh? atakuwa na tumbo la aina gani hilo kuweza kunywa Maji kwa siku Lita 3 na na nusu? Kazi kweli ipo hapo.😀😀😀
 
Jamani ebu nipeni ushauri kweli naweza kupona U.T.I na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza hela zangu kila siku hosptali!
Ni PM HAYO MAJIBU YAKO PLEASE, YAPIGE PICHA NDIO UNI PM
 
Hizi zinaweza kuwa ni sababu ya kuwa na UTI kwa muda mrefu.
1. Usafi duni wa choo unachotumia
2.Kufanya mapemzi na mwenye ugonjwa wa UTI
3. Kutokuwa na utaratibu wa kunywa maji mengi
Hivyo kama unatumia dawa lakini bado mazingira hayo unaendelea nayo badi unaweza ona dawa haifanyi kazi. Kwani unajitibu. Lakini bado unaji expose kwenye mazingira hatarishi.
Hivyo kama unatumia dawa basi jiweke mbali na mazingira yoote yanayoweza kukupatia vimelea vya ugonjwa

Kinga ni bora kuliko tiba
Usafi wa mazingira(ikiwamo choo bora/safi) na mwili muhimu sana.
 
kwakweli fangasi ni janga mno na u..t.i
kama zamani ikivokua maralia..
sikuhizi hospital mnapishana wababa,watoto ,wazee kujaza mikojo..
huu ugonjwa kama umepandikizwa
Hatari sana huu ugonjwa u.t.i mwaka 2014/2015 ndo umeanza kuvuma huu ni kama mradi wa mtu unajua kwa wenzetu hata kutengeneza ugonjwa ni gunduzi kama guduzi nyingine,huku tunakoelekea ndo kuna hatari zaidi
 
hata mm nadhani
huu ugonjwa wametengeneza ,
na kuna mahala tunaupata bila kujijua..
haiwezekani mtu unafata masharti yote na bado unaumwa
 
Jamani ebu nipeni ushauri kweli naweza kupona U.T.I na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza hela zangu kila siku hosptali!
Kunywa kila siku maji kuanzia lita 3 kwa siku.maji ni dawa....cha pili tumia condom ingawa uti unaweza pata bila kulala na mtu
 
Back
Top Bottom