Hapo dawa ni ndogo tu,najua ukitumia dawa unapona ila ukikaa siku mbili,tatu inarudi cha kufanya nenda hispital wewe na mpenzi wote mpime u.t.i na muanze kutumia dozi pamoja mwanamke wakati mwingine anaweza kuchelewa kupata dalili za u.t.i ndo mana unamuona yuko poa tu. Kingine usafi vitu kama fangas kwa mimi naamini hazina dawa na kama ukiamua kutumia dawa kwa ajili ya fangas inabidi iwe sehem ya maisha yako kama kula chakula kila siku lazima utumie iyo dawa ila kuthibiti fangas ni kitu kidogo tu! Usafi wa nguo za ndani,usivae zikiwa mbichi, kata minywele ya chini ni uchafu,ukitoka kuoga jikaushe na taulo na ikibidi kaambele ya feni ukauke kabisa, jipake mafuta unayojipaka mwilini hapo fangas utasikia kwa jirani lakini kwa upande wa wanawake pia fangas inaweza kuwa imefika ndani kuna midonge flani mikubwa inabonyea bonyea kama mpira hivi sijui inavyoitwa nilienda famas na dm wangu wakatuelekeza kutumia iyo ni elfu 10 vinakuwa viwili basi pashkuna akishaoga anatumbukiza maeneo ikibidi anavaa ped coz huwa unatoka uchafu, baada ya hapo amani xana ila kama bado itakuwa unafanya ligi na kule umetoka, kwaiyo inabidi ukaangalie kama ni hasi au chanya ili ujue nini cha kufanya