Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ke au MeJamani ebu nipeni ushauli kweri naweza kupona u.t.i na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza ela zangu kila siku hosptali
kuna dawa ila njooo inbox ...Jamani ebu nipeni ushauli kweri naweza kupona u.t.i na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza ela zangu kila siku hosptali
Ndo ugonjwa gani huo?Jamani ebu nipeni ushauli kweri naweza kupona u.t.i na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza ela zangu kila siku hosptali
bhas tuongee hapa hapa ...dawa ipo ila ya mitishamba unatumia siku tatu na ya kusafisha kibofu ..so ipo na nakuhakikishia inatibu ..Mbona nashidwa kuja inbox mimi ni mgeni humu kuna vingi bado sijavijua
unaweza kula madawa ya hospital had sindano usipone .so nakusikiliza wewe unasemajeJamani ebu nipeni ushauli kweri naweza kupona u.t.i na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza ela zangu kila siku hosptali
Pole sanaJamani ebu nipeni ushauli kweri naweza kupona u.t.i na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza ela zangu kila siku hosptali
Urinary Tract Infection (UTI) - maambukizi ya njia ya mkojoNdo ugonjwa gani huo?
Grade A gharama baba...mpaka nguo zitundikwe kishataka Note7 chumba na sebule Sinza na kila siku hela ya bajaj wakati uswahilini miguu ya kuku na Pepsi shughuli imeisha?na usawa huu wa Magu nashauri panadol ziongezwe tu hospital kupunguza maumivu maana maradhi mtambuka yatawaathiri sana wabongo.Tumia condom ndugu wanaume wengi wanaambukizwa UTI na wanawake wachafu inaonesha unanyota ya KUNGUNI ya kupata mademu wachafu hasahasa wa uswazi ndo wanaUTI sana.
Jaribu kutafuta pussy safi za ukweli grade A