Nimechoshwa na U.T.I naombeni msaada

Nimechoshwa na U.T.I naombeni msaada

Mbona nashidwa kuja inbox mimi ni mgeni humu kuna vingi bado sijavijua
bhas tuongee hapa hapa ...dawa ipo ila ya mitishamba unatumia siku tatu na ya kusafisha kibofu ..so ipo na nakuhakikishia inatibu ..
 
Jamani ebu nipeni ushauli kweri naweza kupona u.t.i na je ni njia gani nifuate nimechoka mwenzenu kupoteza ela zangu kila siku hosptali
unaweza kula madawa ya hospital had sindano usipone .so nakusikiliza wewe unasemaje
 
bhas tuongee hapa hapa ...dawa ipo ila ya mitishamba unatumia siku tatu na ya kusafisha kibofu ..so ipo na nakuhakikishia inatibu ..
Au unaweza ukanitumia inbox nitashukulu sana
 
Tumia condom ndugu wanaume wengi wanaambukizwa UTI na wanawake wachafu inaonesha unanyota ya KUNGUNI ya kupata mademu wachafu hasahasa wa uswazi ndo wanaUTI sana.

Jaribu kutafuta pussy safi za ukweli grade A
Grade A gharama baba...mpaka nguo zitundikwe kishataka Note7 chumba na sebule Sinza na kila siku hela ya bajaj wakati uswahilini miguu ya kuku na Pepsi shughuli imeisha?na usawa huu wa Magu nashauri panadol ziongezwe tu hospital kupunguza maumivu maana maradhi mtambuka yatawaathiri sana wabongo.
 
Back
Top Bottom