Nimechukia sana kukosekana kwenye ajira za jana. Nina jazba sana nimekata tamaa

Nimechukia sana kukosekana kwenye ajira za jana. Nina jazba sana nimekata tamaa

Hata Kikwete angekuepo ni Rais asingeweza kuajiri walimu wote yaani graduates wote. kumbuka hata wakati Kikwete anamaliza muda wake Ajira zilikuepo zimeanza kususua tayari kwahiyo graduate wamekuepo wengi mno. Mimi nakumbuka wataalam wa mifugo tulisjiriwa Kwa interview mwaka 2014 ikiwa ni mara ya Kwanza kufanya interview

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Sio wew tu, mimi hapa nna watu kama 7 hapo nyuma wananitegemea na mm nategemea nipate ajira ya serikali nikope bank nikasomeshe wadogo zangu, hapa nilipo sina hamu natamani ningepata Namba ya Mheshimiwa Ummy nimlilie maana sina namna. Kwa kweli next time waangalie Hata Mwaka mtu uliohitimu ili wote tupate kwa Uhakika. Inavunja moyo sana.
 
Pole sana. Ufupi wapo mpaka waliohitimu masomo ya sayansi na hesabu mwaka 2019, na bado wameajiriwa. Wa 2015 wapo wengi zaidi kuliko makundi mengine. Serikali pia imeajiri wahitimu wengi wenye cheti na stashahada kuliko wale wenye shahada kwa upande wa shule za msingi! Bila shaka lengo lilikuwa ni kukwepa gharama ya kulipa mishahara.

Walimu wenye shahada wa masomo ya Sanaa (Arts) wameajiriwa wachache mpaka inakera! Anyway, hakuna namna. Kumchukia marehemu haiwezi kusaidia chochote kwa sasa. Ushauri wangu ni huu, hizo hasira zihamishie Mtaani! Naamini unaweza ukafanikiwa zaidi kimaisha kuliko hao wanao enda kuwa watumwa wa ajira miaka yao yote.

Angalia tu fursa kwa sasa na mlango wa kutokea. Ukiupata huo, hakika utakuja kujishangaa hapo baadae kwa kudhani ajira ilikuwa ni bora sana kuliko kuajiriwa. Maisha ni vita, hakikisha unapambana mwanzo, mwisho! Never give up!!! 💪
 
Sio wew tu, mimi hapa nna watu kama 7 hapo nyuma wananitegemea na mm nategemea nipate ajira ya serikali nikope bank nikasomeshe wadogo zangu.. hapa nilipo sina hamu natamani ningepata Namba ya Mheshimiwa Ummy nimlilie maana sina namna.. Kwa kweli next time waangalie Hata Mwaka mtu uliohitimu ili wote tupate kwa Uhakika.. inavunja moyo sana..
Poleni sana kwa haya majaribu mnayopitia.
 
Back
Top Bottom