AlphaPii
JF-Expert Member
- May 15, 2015
- 1,168
- 1,852
Ajiri✔️Dhana ya kujiajili ndipo inapopata mashiko
Jiajili mkuu
Ajili❎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajiri✔️Dhana ya kujiajili ndipo inapopata mashiko
Jiajili mkuu
Sure, na ndo umuhimu wa kuruhusu sector binafsi istawi.Hata Kikwete angekuepo ni Rais asingeweza kuajiri walimu wote yaani graduates wote. kumbuka hata wakati Kikwete anamaliza muda wake Ajira zilikuepo zimeanza kususua tayari kwahiyo graduate wamekuepo wengi mno. Mimi nakumbuka wataalam wa mifugo tulisjiriwa Kwa interview mwaka 2014 ikiwa ni mara ya Kwanza kufanya interview
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Unachekesha yaani magufuli ndo kaajilijana wakati keshakufa?Nimejisikia kukata tamaa sana, haiwezekani mtu umehitimu 2016 unaachwa wanakuja kuajiliwa watu wa 2018 wakati hata vigezo hakuzidi nyote mna vyeti nyote mmefaulu,
uchambuzi gani huo uchaambuzi uchwara mlioutumia?
Magufuli ulaaniwe popote pale ulipo wewe ndiye chanzo, mbn kikwete alikua anaajiri waalimu wote waliohitimu?
sikupendi magufuli na hata sitakupenda umetutia umaskini mtupu
kwanini kigezo kisiwe mwaka wa kuhitimu? wajjiri 2015 wakiisha wafate 2016 wakiisha wafate 2017
upuuzi mtupu endeleeni kuneemeka sisis tusote mtaani bhana
Mtaji sh ngap kwan ili nimchangieMPE mtaji tu apige job
Tatzo mnaambiwa walim wa art wapo in excess halafu mnan'gang'ana na bach za education in linguistics ( halafu kipindi tunasoma ndo mlikuw mbatupigia makeleleee na mnakula bataaaa😂😂😂😂 . Vuneni mlichopandaKwani mliomba wangapi na wamepata wangapi?
Muelekeze akasome kitabu cha "the richest man in Babylon " utakuwa umemsaidia sana, kama na wewe hujakisoma kakisome utakuja kunishukuru.Capital is Man Made
Refer to Capital formulation and accumulation concepts as well!!
Mtaji lazima uutengeneze, uulee na uutunze kwa gharama zako
Walikuwa laki moja+waliopata ni elfu 6+.Kwani mliomba wangapi na wamepata wangapi?
Kuna makosa mengine yanahitaji mda mrf kuyarekebisha na sio kwa siku kadhaa, mfano suala la ajira kuna graduate zaid ya laki tatu waliolimbikizwa mtaani na mwendazake, kuwapunguza hawa mpk waishe is not overnight process.Kama Magufuli alikosea kwanini wengine wasirekebishe makosa yake? au aliondoka na akili zetu!.
Nimejisikia kukata tamaa sana, haiwezekani mtu umehitimu 2016 unaachwa wanakuja kuajiliwa watu wa 2018 wakati hata vigezo hakuzidi nyote mna vyeti nyote mmefaulu,
uchambuzi gani huo uchaambuzi uchwara mlioutumia?
Magufuli ulaaniwe popote pale ulipo wewe ndiye chanzo, mbn kikwete alikua anaajiri waalimu wote waliohitimu?
sikupendi magufuli na hata sitakupenda umetutia umaskini mtupu
kwanini kigezo kisiwe mwaka wa kuhitimu? wajjiri 2015 wakiisha wafate 2016 wakiisha wafate 2017
upuuzi mtupu endeleeni kuneemeka sisis tusote mtaani bhana
Mimi nimemsahau but sijamsamehe coz hakuwahi kuniomba msamaha kwa uovu aliotutendea watz.usitamke hilo jina linanichefua
Mzee mbona unanishambulia mimi[emoji23][emoji23]Tatzo mnaambiwa walim wa art wapo in excess halafu mnan'gang'ana na bach za education in linguistics ( halafu kipindi tunasoma ndo mlikuw mbatupigia makeleleee na mnakula bataaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] . Vuneni mlichopanda
Halafu kazi zenyewe za kwenda mavijijin kwingine Hakuna hata huduma za kijamiiAisee inauma sana! Ukichukulia most of the graduates wanatokea kwenye familia maskini! Wanatakiwa wawe watulivu sana katika hiki kipindi kigumu wanachopitia.
Waombaji elfu 90 halafu wanaotakiwa ni elfu 7 kasoro, hakika waombaji walitakiwa kujiandaa kisaikolojia. Yameshatokea! Wanatakiwa waingie tu mtaani kwa ajili ya mapambano dhidi ya maisha.
Kwani ukikosa ajira huwez kupata ajali ukawa mlemavu na kufa?Usikate tamaa .Gods time is always perfect ,huwezi jua ungepata Ajira wakati wa kwenda kuripoti ungepata ajali ukawa mlemavu au ukifa.
Mungu ana siri nyingi juu yako.
Lakini pia kuna Ajira za walimu 10,419 za mwaka ujao wa fedha utakaonza July 2021 so wanaweza kutangaza zingine mwezi wa 9 au 11
Kwa upande wa ajira Magufuli alifanya makosa ila bado tu ukosefu wa ajira wa kiwango cha juu usingeepukika hata kama Kikwete angeendelea mpaka sasa. Ukweli ni kuwa graduates wanaongeza kwa wingi kuliko nafasi za ajira, hivyo tutegemee kadiri miaka inavyosonga mbele ndivyo hali itakavyozidi kuwa ngumu. Tatizo mimi naona lilifanyika miaka ya nyuma. Tuliamua kuongeza shule na vyuo bila kujali vigezo vya kuongeza na matokeo yake wahitimu wengi ni chini ya kiwango kwa kuajiriwa au hata kujiajiri. Matatatizo ya ajira yalishatengezwa tangu tawala za nyuma, Magufuli alilipukiwa tu na bomu ambalo hakulitengeneza.Kama Magufuli alikosea kwanini wengine wasirekebishe makosa yake? au aliondoka na akili zetu!.
Kipindi Cha Magufuli makampuni mengi yamefungwa msijifanye tumeshahau. Manji alikuwa ameajiri zaidi ya watu 5000 unadhani kwa Sasa wako wapi ?Kwa upande wa ajira Magufuli alifanya makosa ila bado tu ukosefu wa ajira wa kiwango cha juu usingeepukika hata kama Kikwete angeendelea mpaka sasa. Ukweli ni kuwa graduates wanaongeza kwa wingi kuliko nafasi za ajira, hivyo tutegemee kadiri miaka inavyosonga mbele ndivyo hali itakavyozidi kuwa ngumu. Tatizo mimi naona lilifanyika miaka ya nyuma. Tuliamua kuongeza shule na vyuo bila kujali vigezo vya kuongeza na matokeo yake wahitimu wengi ni chini ya kiwango kwa kuajiriwa au hata kujiajiri. Matatatizo ya ajira yalishatengezwa tangu tawala za nyuma, Magufuli alilipukiwa tu na bomu ambalo hakulitengeneza.
Tumia limao, jokesusitamke hilo jina linanichefua
Mtaji anao tayari...Elimu yakeMPE mtaji tu apige job
Hili watu hawataki kuliona. Wanadhani watu wanataka kuajiri serikalini. Kipindi sekta binafsi ipo vizuri, kuna watu walikuwa wanaacha kazi wanaenda sekata binafsi na wengine kujiajiri. Fast foward kuanzia 2015 ajira serikalini zikawa almasi.Kipindi Cha Magufuli makampuni mengi yamefungwa msijifanye tumeshahau. Manji alikuwa ameajiri zaidi ya watu 5000 unadhani kwa Sasa wako wapi ?
Nadhani kama umesoma vizuri utaona nimesema Magufuli naye alichangia. Ila nilichosisitiza ni kuwa hata kama angeendelea kuongoza kama Kikwete lakini ilikuwa ni suala la muda tu haya yangetokea. Ukichukuwa idadi ya watu wanaolalamika ajira mitaani ni kubwa sana sana.Kipindi Cha Magufuli makampuni mengi yamefungwa msijifanye tumeshahau. Manji alikuwa ameajiri zaidi ya watu 5000 unadhani kwa Sasa wako wapi ?