Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Kiufupi ilibidi iwe vile ili tutoke kwenye mkwamo uliokuwepoAnajitoa ufahamu , natolea mfano makampuni binafsi ya uhandisi , tender nyingi walinyimwa + kubambikiziwa Kodi zisizolipika , kufungiwa accounts , kufunguliwa kesi za uhujumu uchumi + Sera mbovu na mazingira mabovu ya uongozi chatonian + mdororo WA uchumi uliotokana na hizo issues hapo , kuna makampuni mengi Tu yamefunga biashara , kufilisika , kupunguza wafanyakazi / mishahara .
Magufuli alikuwa shetani ibilisi kabisa yule