Nimechukia sana kukosekana kwenye ajira za jana. Nina jazba sana nimekata tamaa

Sio wew tu, mimi hapa nna watu kama 7 hapo nyuma wananitegemea na mm nategemea nipate ajira ya serikali nikope bank nikasomeshe wadogo zangu.. hapa nilipo sina hamu natamani ningepata Namba ya Mheshimiwa Ummy nimlilie maana sina namna.. Kwa kweli next time waangalie Hata Mwaka mtu uliohitimu ili wote tupate kwa Uhakika.. inavunja moyo sana..
Daah pole mkuu[emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I feel your pain
Aisee inauma sana! Ukichukulia most of the graduates wanatokea kwenye familia maskini! Wanatakiwa wawe watulivu sana katika hiki kipindi kigumu wanachopitia.

Waombaji elfu 90 halafu wanaotakiwa ni elfu 7 kasoro, hakika waombaji walitakiwa kujiandaa kisaikolojia. Yameshatokea! Wanatakiwa waingie tu mtaani kwa ajili ya mapambano dhidi ya maisha.
 
Sio wew tu, mimi hapa nna watu kama 7 hapo nyuma wananitegemea na mm nategemea nipate ajira ya serikali nikope bank nikasomeshe wadogo zangu.. hapa nilipo sina hamu natamani ningepata Namba ya Mheshimiwa Ummy nimlilie maana sina namna.. Kwa kweli next time waangalie Hata Mwaka mtu uliohitimu ili wote tupate kwa Uhakika.. inavunja moyo sana..
polesaana mkuu
 
Usikate tamaa .Gods time is always perfect ,huwezi jua ungepata Ajira wakati wa kwenda kuripoti ungepata ajali ukawa mlemavu au ukifa.
Mungu ana siri nyingi juu yako.
Lakini pia kuna Ajira za walimu 10,419 za mwaka ujao wa fedha utakaonza July 2021 so wanaweza kutangaza zingine mwezi wa 9 au 11
 
Tatizo ni masharti ya walimu kujiajiri. Serikali imeweka masharti magumu mno ya MTU binafsi kumiriki shule. Masharti yote yanafeva matajiri. Kuna watu wanamajengo mitaani, wanakubalika na watu lakini hawakubaliki na serikali na hivyo kutokuwa walipa kodi. Sheria hizi zinazalisha watu wanaoichukia serikali bila sababu, na lazima serikali itambue kwamba haiwezi ajiri kila mtu.
Nchi hii unakuta kijana ni daktari, lakini ni bodaboda, kwa sababu masharti ya kufungua zahanati ni magumu mno, cha ajabu mganga wa kienyeji anaruhusiwa kuendesha huduma hata kwenye banda LA nyasi lakini kijana aliyesomeshwa na serikali tunamuwekea masharti yanayomtia umaskini.
Tanzania kijana amemaliza digrii ya sheria lakini si mwanasheria mpaka aende shule ya sheria kwa nini hicho kinachotolewa kwenye shule ya sheria wasifundishwe watoto zetu ili baada ya digrii wapate mihuri ya mahakama na kujiajiri?
Nchi hii ina sheria nyingi zinazozalisha wazururaji. Tengenezeni sheria zinazowasaidia watu waanzie pale walipo ili kusonga mbele maadamu watu hao wataaminiwa na jamii inayowazunguka. Tusaidieni watanzania, asilimia kubwa ya hawa vijanaa wataalam wametoka kwenye familia maskini. Serikali ikiwasaidia hawa pia itakuwa imezalisha walipa kodi.
 
Nimejisikia kukata tamaa sana, haiwezekani mtu umehitimu 2016 unaachwa wanakuja kuajiliwa watu wa 2018 wakati hata vigezo hakuzidi nyote mna vyeti nyote mmefaulu,

uchambuzi gani huo uchaambuzi uchwara mlioutumia?

Magufuli ulaaniwe popote pale ulipo wewe ndiye chanzo, mbn kikwete alikua anaajiri waalimu wote waliohitimu?

sikupendi magufuli na hata sitakupenda umetutia umaskini mtupu

kwanini kigezo kisiwe mwaka wa kuhitimu? wajjiri 2015 wakiisha wafate 2016 wakiisha wafate 2017

upuuzi mtupu endeleeni kuneemeka sisis tusote mtaani bhana
Kwani Baba yako hakukuandalia ajira?
 
Pole sana Mkuu!Nakuelewa sana unachosema!!JK Angekuwepo ange handle hiyo ishu ya Ajira vizuri!!Angekuja na suluhisho!!Hata hivyo Walimu hawatoshi nchini na sector nyingine pia hawatoshi kabisa!!!Huo ndio ukweli!!mama hadi mwakani atafanya kweli!!!
 
Weee bwana ndio maana umeachwa, Mwalimu gani hujui hata kuandika!, WAFATE NDIO NINI?
 
Katibu Mkuu amesema kuwa miongoni mwa vigezo vilivyofuatwa ni:
1)Umri....pamoja na kumaliza elimu siku nyingi.
Amesema wameangalia walio umri mkubwa na miaka 40 pia...(kigezo cha kupata pensheni kwa makato ya miaka isiyopungua 15)

2)Uwiano wa Jinsia(hapa WANAWAKE lakini pia UMRI)....

Pole sana komredi.....

Mwakani Serikali itaajiri tena!

#NchiKwanza
#UzalendoKwanza
#JMTKwanza
 
Nimejisikia kukata tamaa sana, haiwezekani mtu umehitimu 2016 unaachwa wanakuja kuajiliwa watu wa 2018 wakati hata vigezo hakuzidi nyote mna vyeti nyote mmefaulu,

uchambuzi gani huo uchaambuzi uchwara mlioutumia?

Magufuli ulaaniwe popote pale ulipo wewe ndiye chanzo, mbn kikwete alikua anaajiri waalimu wote waliohitimu?

sikupendi magufuli na hata sitakupenda umetutia umaskini mtupu

kwanini kigezo kisiwe mwaka wa kuhitimu? wajjiri 2015 wakiisha wafate 2016 wakiisha wafate 2017

upuuzi mtupu endeleeni kuneemeka sisis tusote mtaani bhana
Duh...pole sana.
 
Katibu Mkuu amesema kuwa miongoni mwa vigezo vilivyofuatwa ni:
1)Umri....pamoja na kumaliza elimu siku nyingi.
Amesema wameangalia walio umri mkubwa na miaka 40 pia...(kigezo cha kupata pensheni kwa makato ya miaka isiyopungua 15)

2)Uwiano wa Jinsia(hapa WANAWAKE lakini pia UMRI)....

Pole sana komredi.....

Mwakani Serikali itaajiri tena!

#NchiKwanza
#UzalendoKwanza
#JMTKwanza
Huyu ndugu atakuwa ameathiriwa na kigezo # 1. Kasema amehitimu 2016 nadhani hakuwa na miaka 40+, ambao ndio walikuwa wengi miongoni mwa waombaji
 
Back
Top Bottom