Nimechukia sana kukosekana kwenye ajira za jana. Nina jazba sana nimekata tamaa

Nimechukia sana kukosekana kwenye ajira za jana. Nina jazba sana nimekata tamaa

Aisee inauma sana! Ukichukulia most of the graduates wanatokea kwenye familia maskini! Wanatakiwa wawe watulivu sana katika hiki kipindi kigumu wanachopitia.

Waombaji elfu 90 halafu wanaotakiwa ni elfu 7 kasoro, hakika waombaji walitakiwa kujiandaa kisaikolojia. Yameshatokea! Wanatakiwa waingie tu mtaani kwa ajili ya mapambano dhidi ya maisha.
So painful!
 
Sorry bana, ila nawachana tuu haoo hkl wanaonyata kitaa na suti & tai hawawez endesha hata boda et it is too risk afu wana na engineering zao wana hustle kitaaa hata kama kaz n ya kuchafuka na oil[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahah acha uongo
 
Poleni sana
Mama amefungua njia
Ni mwanzo mzuri
Ingekua Hayati bado ingekua bila bila labda

Mungu akujalie next time upate🙏🏽
 
MI NAONA SHIDA SIO MAGUFULI MIAKA YA NYUMA ATA WANAOMALIZA DARASA LA SABA KUINGFIA FORM 1 UNAKUTA SHULE NZIMA WATU ISHIRINI SASA SAIV ANAFELI MTU MMJA KUINGIA FORM 1 NAPO UYO AKUENDA KWENYE MTIANI,IVYO KUFIKA MWAKA 2013 NAKUMBUKA NILIKUA SANGU SECONDARY FORM 5 NAANZA WAHITIMU WALISHAKUA WENGI SANA IVYO KUFIKA 2015 HALI ILIKUA TETE TUNAKUJA KUMALIZA 2018 CHUO NDIO HALI MBAYA ZAIDI ,SOLUTION NI KUPUNGUZA WATU WANAINGIA FORM 1 NK NAPO NI NGUMU MANA WANAKUA WADOGO SANA IVYO KUENDELEA KUKUA KIAKILI WAKIFIKA 4M4 AFADHALI... DAWA NI KUFUNDISHA MASOMO YA KUJITEGEMEA NA WANAOTAKIWA KUWA WATUMISHI WA SELIKALI WAWE WANABANWA SANA KWENYE UFAULU.NADHANI NDIO SOLUTION.NA SISI TULIOMALIZA CHUO KIKUU MPKA SAIV MTU UNAMIAKA M3 AU ZAIDI MTAANI UNAWAZAJE AJIRA .TUPAMBANE MAZEEE,TUPAMBANE NDIO DAWA IYO .WENGINE ATA VYETI ATUJACHUKUA TUPO TOWN TUNAKOMAA TU NA ATUJATOKA FAMILIA NZURI
Samahani, ulisomea career gani?
 
Nimejisikia kukata tamaa sana, haiwezekani mtu umehitimu 2016 unaachwa wanakuja kuajiliwa watu wa 2018 wakati hata vigezo hakuzidi nyote mna vyeti nyote mmefaulu,

uchambuzi gani huo uchaambuzi uchwara mlioutumia?

Magufuli ulaaniwe popote pale ulipo wewe ndiye chanzo, mbona Kikwete alikua anaajiri waalimu wote waliohitimu?

sikupendi magufuli na hata sitakupenda umetutia umaskini mtupu

kwanini kigezo kisiwe mwaka wa kuhitimu? wajjiri 2015 wakiisha wafate 2016 wakiisha wafate 2017

upuuzi mtupu endeleeni kuneemeka sisis tusote mtaani bhana
Hizo nafasi zilitekwa na watu wa ccm wakaanza kuingza watu wao kigezo, walichotumia kuteka nafasi hizo ni neno kujitolea hapo ndo walipomzunguka mama yetu rais
 
Kwa upande wa ajira Magufuli alifanya makosa ila bado tu ukosefu wa ajira wa kiwango cha juu usingeepukika hata kama Kikwete angeendelea mpaka sasa. Ukweli ni kuwa graduates wanaongeza kwa wingi kuliko nafasi za ajira, hivyo tutegemee kadiri miaka inavyosonga mbele ndivyo hali itakavyozidi kuwa ngumu. Tatizo mimi naona lilifanyika miaka ya nyuma. Tuliamua kuongeza shule na vyuo bila kujali vigezo vya kuongeza na matokeo yake wahitimu wengi ni chini ya kiwango kwa kuajiriwa au hata kujiajiri. Matatatizo ya ajira yalishatengezwa tangu tawala za nyuma, Magufuli alilipukiwa tu na bomu ambalo hakulitengeneza.
Mkuu umeongea point sana , yaan vigezo Vya kufauru kuanzia form 4 Mpk chuo kikuu vilitakiwa viongezwe, ili watu wengine waende kusoma ufundi na kufanya mambo mengne wanao fika chuo wawe wasomi kwel kwel .
 
Mkuu ukiona maisha magumu achana nayo, fanya inshu zingine

Yaan kwa elimu uliyonayo unakaa kuitegemea serikali? Pambana mkuu, afu kingne punguza kuweka big expectations kwenye maisha itakuwa high disappointed.
 
Wasome kozi za hela,
Finance,
Accounting,
Business Administration,.
Economics,
Commerce,
Science zenye hela,
Engineering zenye hela,
Umeorodhesha kozi nyingi hapo juu....

Kwa hiyo hao wana ajira za kumwaga?!!!

Mathalani mainjinia ili wapate tenda ni rahisi?!!!
Wana uchumi wa kufungua vikampuni uchwara ?!!!

Hao wengine si ndio wanaopanga foleni interview ya watu 10 wenyewe wakiwa 2000?!!!!

Mkuu banaa 🤣🤣🤣🤣
 
Usikate tamaa mkuu...jipange unanafasi nyingine,kila ktu hutokea na sababu
 
Ingekuwa ni rahisi kama unavyoandika hapa basi kila mtu angekimbilia huko
Yani huyu bwege ameniudhi kweli,eti anasema elimu aliyopata ndio mtaji wake,hakuna bank inakopesha MTU fresh from chuo.

Labda angesema kwa elimu aliyoipata chuoni basi aitumie kwa kufanya utapeli ile hela tuna kwenye no hii...
 
Nimejisikia kukata tamaa sana, haiwezekani mtu umehitimu 2016 unaachwa wanakuja kuajiliwa watu wa 2018 wakati hata vigezo hakuzidi nyote mna vyeti nyote mmefaulu,

uchambuzi gani huo uchaambuzi uchwara mlioutumia?

Magufuli ulaaniwe popote pale ulipo wewe ndiye chanzo, mbona Kikwete alikua anaajiri waalimu wote waliohitimu?

sikupendi magufuli na hata sitakupenda umetutia umaskini mtupu

kwanini kigezo kisiwe mwaka wa kuhitimu? wajjiri 2015 wakiisha wafate 2016 wakiisha wafate 2017

upuuzi mtupu endeleeni kuneemeka sisis tusote mtaani bhana
Pole sana mkuu. Hii ndio Tanzania ilipofikia. Wanaajiri wanavyotaka wao. Naona walimu wengi wa sayansi wanekula shavu.

Hakuna kukata tamaa. Let us fight until last breath. Piga moyo konde
 
Una mimba?
Ahàahaa kweli nimecheka sana,Ila kuna watu mlimpenda magu aisee,acha nikunon'goneze watu wasisikie tukabambikiwa kesi ya kina sioi summary,Magu katika marais waliopita ndio Rais fala kuliko wote waliopita.

Usimwambiee MTU.
 
Back
Top Bottom